Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,152
Mkubwa, mimi sina utaalamu sana wa sheria, ila nafikiri Kikatiba hurusiwi. Maana hicho ni chama cha siasa siyo cha misaada kuwa kinaweza ku-operate hata nje ya mipaka ya Rwanda. Chama cha siasa kinatakiwa kifanye kazi kwenye siasa za nchi husika tu na wanachama wake wawe raia wa nchi hyo na siyo nje ya nchi. Hivyo unaweza kuwa mshabiki wa RPF kwa sera zao na siyo kuwa mwanachama maana kwa uraia wewe siyo Mnyarwanda.
Wasiliana na Koba kuhusu Rwanda. Lakini join Dr. Slaa, pamoja tunaweza. Usikate tamaa!
Yaani niko sirias kuna wanasiasa ukiwangalia unatamani kwa nini mungu akukuumba kwao
mmoja wapo ni huyu bana bana kagame jamani kwa walioangalia majuzi kampen ya kagame ana magari matatu tu ya kawaida jamani wakati ccm wametangaza kutumia billion 50 na serikali wakijua awazitumii zote hizi zikiingia mifukoni mwao akiwemo rais wetu kweli jamani Billion 50 watu wanakufa na uzazi muh mwananyamala temeke na kwingine nchini
kuna aja ya kuongozwa na rais kama huyu???nimefikia kujitoa ccm na kujiuliza ntajiunga na chama kipi kabla ya kuona juzi ile kampeni na jinsi jamaa anavyojieleza yuko kwa ajili ya wananchi kwa kwli natamani kujiunga na chama cha kagame kama kuna memba karibu tujulishane hata anipe kadi tuwe niwe nikimkumbuka huyu mwadilifu kwa nchi yake
Mkubwa, mimi sina utaalamu sana wa sheria, ila nafikiri Kikatiba hurusiwi. Maana hicho ni chama cha siasa siyo cha misaada kuwa kinaweza ku-operate hata nje ya mipaka ya Rwanda. Chama cha siasa kinatakiwa kifanye kazi kwenye siasa za nchi husika tu na wanachama wake wawe raia wa nchi hyo na siyo nje ya nchi. Hivyo unaweza kuwa mshabiki wa RPF kwa sera zao na siyo kuwa mwanachama maana kwa uraia wewe siyo Mnyarwanda.
Mkuu natofautiana kidogo na wewe,je inakuaje huko UK - London,Reading etc. yanafunguliwa matawi mengi ya CCM ilhali hicho chama hakipo huko na wanachama wanaojiunga kuna warundi , wanyawanda, wasomali na watanzania wenyewe wenye uraia wa UK????Na wanapewa vyeo na viongozi wanatoka bongo kwenda fungua matawi???fafanua zaidi plzz.Mkubwa, mimi sina utaalamu sana wa sheria, ila nafikiri Kikatiba hurusiwi. Maana hicho ni chama cha siasa siyo cha misaada kuwa kinaweza ku-operate hata nje ya mipaka ya Rwanda. Chama cha siasa kinatakiwa kifanye kazi kwenye siasa za nchi husika tu na wanachama wake wawe raia wa nchi hyo na siyo nje ya nchi. Hivyo unaweza kuwa mshabiki wa RPF kwa sera zao na siyo kuwa mwanachama maana kwa uraia wewe siyo Mnyarwanda.