sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,478
Soma habari hii halafu utaelewa kwa nini chagonja anapaswa kufukuzwa kazi polisi..
Mkuu wa jeshi la polisi nchini Inspekta saidi mwema ametuma kikosi cha maofisa waandamizi kutoka makao makuu ya jeshi hiko, kikiongozwa na Mkurugenzi wa operesheni na mafunzo kamishna Paul Chagonja kwenda mjini songea kufanya uchunguzi wa ghasia hizo.
Chagonja akiongea na mwananchi jana alisema maandamano hayo hayakuwa ya amani bali ya kihuni kwani yalilenga kuvamia ofisi za serikali ikiwamo ikulu ndogo na ofisi ya mkuu wa mkoa.
Chagonja alikuwa akijibu swali lililotaka aeleze ednapo haoni kkama polisi imetumia nguvu kubwa kutawanya raia waliokuwa wakiandamana kwa amani.
maandamano yamani watu wanavamia ikulu, maandamano ya amani watu wanazingira ofisi ya mkuu wa mkoa?
sijafika huko ndio naelekea lakini yale si maandamano ya amani. Yaani wahuni wanataka waachiwe? Kuweni wazalendo , miswe kama labda ninyi ni waandishi wa BBC kutoka uingereza, hii ni nchi yenu
Alifafanua kwamba maandamano ya amani yanafahamika kwani watu hulazimika kuomba kibali na kuweka wazi ajenda ya maandamano. lakini siyo maandamano yale, hayakuwa na kibali chochote wahuni tu wamejiingiza wanataka kuvuruga nchi
Mkuu huyo wa operesheni alitetea polisi akisema; ucifikirie polisi hawana akili. Haiwezekani watu wazima na akili zao wenye mafunzo wafyatue ovyo risasi za motokwa raia. Hakuna askari anapenda kuua raia, lakini watu wanavamia ikulu, ofisi ya mkuu wa mkoa magari ya polisi, hapo kuna amani kweli?
Alitoa angalizo kwamba ni lazima hata vyombo vya habari, viache ushabiki na badala yake viangalie maslahi ya taifa kwani nchi ikivurugika wao pia hawatasalimika na kusisitiza: kuweni wazalendo bwana, msifikirie kulishutumu jeshi la polisi tu
Source: Mwananchi
Wana jamii hayo ndo maneno ya kiongozi wa kikosi cha kwenda kufanya uchunguzi wa mauaji yaliofanywa na polisi huko songea.. anatetea askari wake hata kabla ya kufika na kufanya uchunguzi..
haki itatendeka kweli..? anafaa kuendelea na wadhifa wake huo..?