Patrobass Katambi: Ukweli utaniweka huru daima

hahahah.Na wewe unajua kuwa ni CHADEMA wamefanya.Lakini serikali na vyombo vyote vya dola vimeshindwa kuwakamata hao CHADEMA waliofanya hivyo
kudadeki.Danganyeni maiti
 
Sasa Mkuu Katambi na akina Kafulila; Lowasa na Sumaye wakiondoka CHADEMA na kurudi ccm mnapishana nao? Au ikipita miaka mitano bila mafisadi waliokimbilia Chadema kushtakiwa mtarudi tena kua Rais Magufuli hana nia ya kushughulikia rushwa? Au mnatoa picha gani?

Sisi wapiga kura wenu mnatupa wakati mgumu sana japo ni haki zenu; iweje hao watu mmepigiana nao kampeni 2015? Japo hamjasema mnachokifuata upande mwingine ni upi
 
chadema imebadilika sana mkuu sio ile iliyokemea ufisadi waziwazi, sasa hivi baada ya CCM kuanza walau kwa mbali kuchukia ufisadi chadema kawa swahiba na rafiki kindakindaki na wale iliyowatuhumu yenyewe kuwa ni mafisadi jukwaaani
 
Ile siku aliyohama, aliongea kwa muda mrefu, kwa wenye kumuelewa walimuelewa, najua moto aliouwasha huko alikotoka ni mkubwa mnoo. Kuna kila ukweli kwa alichosema. Ni wakati sasa vyama vichunguzwe km kweli havina ukabila @northpole.
 
Njaa mbaya sana. Eti vijana wanathaminiwa. Hivi vyeo vitaondoka na wengi sana.
 
Ile siku aliyohama, aliongea kwa muda mrefu, kwa wenye kumuelewa walimuelewa, najua moto aliouwasha huko alikotoka ni mkubwa mnoo. Kuna kila ukweli kwa alichosema. Ni wakati sasa vyama vichunguzwe km kweli havina ukabila @northpole.
naona mnaanza kurudisha singo ya ukabila bila kujua mnamchafua mtukufu asiyekosea
 
Chadema siwapendi sijui kwa nini? Yaani kila anayehama chadema kahongwa? Je kama kakimbia mabomu ya machozi?
 
hahahah.Na wewe unajua kuwa ni CHADEMA wamefanya.Lakini serikali na vyombo vyote vya dola vimeshindwa kuwakamata hao CHADEMA waliofanya hivyo
kudadeki.Danganyeni maiti
Wawakamate wa nini waendelee tui kuuwana kama wanavyo uwa kila anaye gombea uwenyekiti.
 
Mbowe jitathimini sana kwenye utawala wako una kijiudikteta fulani..
 
Ungelijua hili alilosema Mkumbo hakika ungejitafakari
 
Patrobas shekeli ilikulainisha ukaanza kudukua chama chako.. Walipokustukia wakakufungia milango na kukuweka pembeni kiaina.. Hili limekuumiza sana... Mengine yote unayopanga kuongea ni mtazamo na tuhuma ambazo popote zipo... Ila iko hivi UMERUKA NDOGO UMEKANYAGA KUBWA
 
Eti hajasema kilichomtoa ili kulinda haiba ya walioko huko,aisee naombeni clip ya alipo simama kujitambulisha kuhama nione upya km hakusema kule kulikuwa nini nini na huku kuna nn
Tena utadhani kakaa miaka kumi ndani ya alikohamia maana anajua hadi kulivyotofauti na alikotoka
 
Mbona anaonekana kama nafsi inamsuta vile? Hata Yuda Iskariote alikuwa na ujasiri wa kumsaliti Yesu lakini baadaye nafsi ikamsuta na akajinyonga. Mshahara wa dhambi, ikiwemo rushwa ni mauti. Katambi asipoangalia atajinyonga kwa kusutwa na nafsi.

Wataalamu wa elimu ya Raslimali watu na Saikolojia wanasema mtu hapati tulizo na nafsi kwa pesa tu bali kuna vitu vingine vingi ikiwemo furaha ya moyo kwa kile unachokiamini. Sina uhakika kama Katambi anapata hata usingizi kwa kioja hiki alichokifanya. kama ana mke atakuwa anaona aibu hata kwa mkewe.
 
Mbona anaonekana kama nafsi inamsuta vile? Hata Yuda Iskariote alikuwa na ujasiri wa kumsaliti Yesu lakini baadaye nafsi ikamsuta na akajinyonga. Mshahara wa dhambi, ikiwemo rushwa ni mauti. Katambi asipoangalia atajinyonga kwa kusutwa na nafsi.

Wataalamu wa elimu ya Raslimali watu na Saikolojia wanasema mtu hapati tulizo la nafsi (satisfaction) kwa pesa tu bali kuna vitu vingine vingi ikiwemo furaha ya moyo kwa kile unachokiamini. Sina uhakika kama Katambi anapata hata usingizi kwa kioja hiki alichokifanya. kama ana mke atakuwa anaona aibu hata kwa mkewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…