Mimi bana hunitoi yanga. ila hapa umesema kweli mtani. Simba ilihitaj maboresho kidogo tu ili msimu huu waendelee walipoishia ila wamefumus kikos chote ndomana timu imeanza upya tena. Kama kikos kingebski vilevile na kuboreshs tu safu ya ulinzi basi mwaka huu ingekuwa semi final kama si final kabisa. Ila bado simba iko poaMwanzoni Simba ilikuwa inacheza pasi fupifupi na taratibu baada ya ujio wa Patrick aussems Simba inacheza pasi za haraka na counter attack.
Lakini pia kitendo chake Cha kuwapa nafasi karibia wachezaji wake wote kwenye kikosi chake kwa lugha nyingine anafanya rotation makocha wachache Sana wanafanya hiv.ila kwenye caf champion league ameangushwa na usajili wa miemuko wa viongozi wa simba.hiv inaingia akili kwel unamsajili deo Kanda mcheza na jukwaa unamuuacha okwi mzee wa kazi,unamuuacha haruna niyonzima unamsajili shubob wakati kilikuwa hakuna ulazima wakufanya hivo,wale wabrazili ndo takataka kabisa hata sitaki kuwazungumzia unaona kazi anayofanya Kenneth juma anajua kutumia urefu wake vizuri anawin mipira yote ya juu tumeona kwenye mech ya Jana kiasi ambacho Wawa akawa kama yupo likizo lakini Lile librazili gerson ni lilefu lakini hajui kutumia urefu wake lakini Mara nyingi anakuwa out of position.
Unaenda kumsajili kiungo wa kibrazili ambaye ata robo ya uwezo wa kotei hana hii ni akili au matope
NB: next time uongozi wa Simba msifanye usajili wa miemuko ili mumsaidie Patrick aussems kufanya kazi yake kwa ufanisi.
Ulichoongea ni ushabiki wa kijinga tutaona hao wabrazili Kama watadumu hapo Simba zaidi ya mwaka mmojaKweli ukiona tulitolewa ligi ya mabigwa africa sio kwamba tulikua hatuko vizur lahasha nazani ni makosa ya mtindo wa mpira kutoka kwa wachezaji wachache kam akina deo kanda hawakuwa wanachez kam kutaft magoli bali jukwaaa ziliwazid
1/ moja simba haikutegemea kam caf itatoa kwa ratiba kuanza kabla ya ligi kuu kuanza hilo lilikua tatizo kubwa ingawa tulijiandaa
2/ mtazamo wangu naona kiungo wa kibrazil anacheza mpira mzur anakaba hana madoido mengi uwanjan anagusa na kutoa anaenda kupeleka mashambuliz anarudi kukaba pia hicho ndio kitu cha kiungo mkabaji
3/ kuhus staiker wetu mbrazili kwa mtu anaejua mpira utajua jamaa anajua anadribo kali anacontorl nzuri ananguvu ngoja tusubir akipewa nafac zaid
4/ tunapat matokeo mazuri kwanini tuwalaum wachezaji tunatak kipi tena mbona wabongo hamukomi kila kukicha siasa za vijiweni mnatak kuujua mpira kam akina amunike kisa kucheza Barcelona akaona kila kitu anakijua
5/This is simba ushindi niwetu majungu tuache
Kwa Fragas naona kama kweli hawezi kudumu. Ila yule beki Tairone yule bado yupo sana Simba kwa jinsi nilivyomuona uchezaji wake kwenye hizi mechi chache za kimashindano. Yule mshambuliaji Wilker ni mapema sana kusema chochote mpaka acheze walau mechi tatu za kimashindanoUlichoongea ni ushabiki wa kijinga tutaona hao wabrazili Kama watadumu hapo Simba zaidi ya mwaka mmoja