Hiyo Ngoma ni Matata sana
Muziki ni burudani, kama unataka 'sense' kasikilize hotuba za Mwalimu JK NyerereTatizo la wabongo kutokujua kingereza huwa tunajikuta tunashabikia nyimbo tusizozielewa kabisa. Jamaa wanaimbaga vitu non sense kabisa ila kwakuwa hayuelewi kingereza unakuta unamshabikia burna boy kwajili ya lile lisauti lake
Sent using Jamii Forums mobile app
achana nae huyu mwamba siyo mfatiliaji wa muziki , kwenye album Ya african Giant nyimbo zenye akili zipo ..Kama kiingerez shida aende kwa Ras simbaMuziki ni burudani, kama unataka 'sense' kasikilize hotuba za Mwalimu JK Nyerere
Sent using Jamii Forums mobile app