Patoranking Ft diamond platnumz Love you die

Patoranking Ft diamond platnumz Love you die

It's nat a peculiar hit anyway, nothing is such of a new difference.
 
Mimi ni team chibu damu damu ila nimeona ni kawaida sana k.ukwl siku hizi simba anatumia stlyle moja kuimba yeye na mavoko halafu lazima aimbe mambo ya kukuchi kuchi,amtaje wema na zari mi nafikir inatosha sasa ni muda wa kuandikiwa nyimbo ukimuuliza anakwambia ndio soko la kimataifa linavyotaka natamani angejikataa kama davido alivyobadilika kabisa kwenye wimbo ule wa paparazi follow youuuu...melody tofaut ambayo hatukuizoea utunzi ulikuwa wa Tecno,aghalabu huwezi kumsikia tecno akiimba bila kutaja neno i go mari yo hii nayo huchosha sawasawa na stlyle moja anayotumia diamond kwa sasa tungo kama za kasimu mganga 'somo'ni tungo ambazo chibu anatakiwa kuziachia mara kwa mara nyimbo zenye staha zinazosikilizika na rika zote...hizo za kimataifa zinamfanya awe butu nyumbani nje kisu sasa sielewi inaleta mantik gan...
 
Back
Top Bottom