Time heal but not the way you want to heal you! na muungwana akasema "subira ni pale mwanzo tu linapokutokea jambo" maana yake ni kwamba ukitokewa na jambo palepale lete subra sio subra uje uitafute baadae.umeleta kitu kizuri mleta uzi pokea pongezi zangu za dhati