M MINAKI Member Nov 11, 2010 47 24 Aug 4, 2011 #1 Habari wanajamii! Naomba kwa anaefahamu range za Mishahara kwenye Nafasi ya Program Officer kwenye NGO inayoitwa Pathfinder International! Nimeitwa kwenye Interview wiki ijayo! Thanks very much kwa ushirikiano wenu kwenye hili ombi langu!
Habari wanajamii! Naomba kwa anaefahamu range za Mishahara kwenye Nafasi ya Program Officer kwenye NGO inayoitwa Pathfinder International! Nimeitwa kwenye Interview wiki ijayo! Thanks very much kwa ushirikiano wenu kwenye hili ombi langu!