Pateni SUPU YA ELIMU

SolarPower

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
223
27
Wakuu,

Napenda kuwajulisha kuwa Mtanzania wenzetu ametoa kitabu kizuri sana kiitwacho SUPU YA ELIMU.
Kitabu hiki ni Muongozo, Dira na Barabara anayotakiwa kupita mtu ili aweze kupata mafanikio makubwa katika kuielekea Elimu na kuhakikisha kuwa kazi yake ya kusoma kwa ngazi zote za elimu anaitekeleza ipasavyo.
 

nielekeze jinsi ya kukipata
 
Kuna kitu gani cha ziada katika kitabu hicho cha "supu ya elimu" au ndio vile tu kimeandikwa ili apate ulaji. The academicians must be specific and straight forward in their field regardless the positive and negative trends they pass through during their task accomplishments.
 

Ni kitabu kizuri............kimaudhui ni msisitizo juu ya elimu!
 
Is the nice book for a family to have in its library

Asante kwa maoni yako, Kitalo.

Ni muhimu sana kama taifa , kama familia na mtu mmoja mmoja kuwekeza katika vitabu na kutekeleza kwa vitendo yale tuyapatayo toka katika vitabu husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…