Pata Viwanja Moshono hapa,hakuna Udalali.

Pata Viwanja Moshono hapa,hakuna Udalali.

Dar Express

Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
46
Reaction score
4
Tunauza Viwanja kwa bei nafuu ktk kata ya moshono.

Mita 25 kwa 15 tupe milioni 10
Nyingine nyingi.

Nipigie 0764 291222
 
Funguka vizuri basi Msoni ni wapi kenya au???
 
Arusha Viwanja ni ghali,mleta mada atakuwa anauza ngusero.
 
mleta mada anaweza kua sahihi,maeneo ya boma la laizer kuvuka reli hzo ndo bei wakuu,labda yeye aseme ni moshono mtaa gan?
 
Kawauzie watu wa mererani 10 hapa kibamba unapa mt 40 kwa 40
 
Tunauza Viwanja kwa bei nafuu ktk kata ya moshono.

Mita 25 kwa 15 tupe milioni 10
Nyingine nyingi.

Nipigie 0764 291222

Moshono ni kubwa ase, tuelezee ni moshono sehemu ipi hyo kama nyuma ya world garden shuleni masaalen olorein chekeren perkers na siara
 
Back
Top Bottom