biashara ya ardhi ni shida
kwanini mkuu unasema ni shida ?
migogoro yake sio mchezo... ni rahisi sana kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
Mbona cheap? Havina migogoro? Sio mabondeni?
If not, then its a good opportunity kwa wale wenye ndoto za kujenga hostels
biashara ya ardhi ni shida
kwa hapo sikukatalii kwani ni kweli unaweza ukapoteza mihela yako ukaambulia patupu
inabidi kuwa makini sana la sivyo majanga
migogoro yake sio mchezo... ni rahisi sana kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
kwa hapo sikukatalii kwani ni kweli unaweza ukapoteza mihela yako ukaambulia patupu
inabidi kuwa makini sana la sivyo majanga
Too good to be true, Office ziko wapi tuwaone
Hati au leseni ya makazi? Mbona bei ipo chin usalama upon?
Be more than careful, there was a case btn two individuals over a piece of land in the same area (over 15 acres). One has won and with this offer I am afraid you might use your money to buy an endless crisis. Be more than careful again. Don't pay before checking with locals (on your own), do not ask the dalali to check for you, sometimes they collude with fake landlords. LASTLY YOU ARE WARNED! Last time i visited the area the judgement was posted at one of the noticeboard of Ward office but it is no longer there. Kuonyesha msisitizo uwe makini sana eneo hilo ni hatari pia kwani wanaweza kukuuzia eneo la MNH
sio wote humu ndani wana jua hicho kizungu chenu....tafsiri basi tuku elewe.
sio wote humu ndani wana jua hicho kizungu chenu....tafsiri basi tuku elewe.
Mhhhhhh mhhhhh haiwezekani hio bei
Kuweni makini mnaweza kuuziwa eneo la chuo cha muhimbili!!!!!!!!!! Pima thamani ya hera yako na kitu unachopewa, je vinawiana.VALUE FOR MONEY
Kwa kifupi ni kuwa rahisi ni ghali, hivyo kuwa makini bei hiyo inanitisha sana kwani ameneo hayo hata 20m x 20m si rahisi kupata, ujio wa chuo umepandisha bei ya viwanja maeneo hayo.
Lakini pia kulikuwa na kesi kati ya watu wawili wakigombea shamba lenye ukubwa wa heka kama heka15 hivi (maeneo hayo sina uhakika kama ndo linauzwa) , hukumu yake imetolewa mwezi wa nane na hukumu hiyo ilibandikwa maeneo mbali mbali ikiwa ni pamoja na ofisi za watendaji. Juzi kati (j1) nilipitia maeneo hayo sikuona bandiko hilo hivyo ndo maana nawaonya muwe makini. Nunua lakini fanya utafiti mkubwa wewe mwenyewe (usikubali dalali akufanyie utafiti huo, uliza wenyeji tena ikiwezekana waliojenga maeneo hayo si wale wanaolinda mashamba ya watu) usije ukaingizwa chaka mwanakwetu!