Utamu wa modem ni kuunlock bana hizo HSPA mbwembwe tu!!kama upo dar' jipatie Universal Modem kwa Tsh.35,000/= bila usumbufu wa kuanza ku'unlock or what... Model yake 3.5G, HSPA. Speed 7.2Mbps (HSDPA). Ina'slots mbili...moja kwa'ajili ya line yako Mtandao wowote na yapili ni kwa'ajili ya Memory Card. Check picha yake apo.. CONTACTS; 0718'646486 & 0769'741223!
acha wizi mkuu moderm hizo bei yake 29000/= waelekeze duka lilipo posta sio unataka kula cha juu 6000 haitakupeeka sehemu yoyote hata nyumba hautajenga tuondolee upuuzi wako humu waelekeze ukishwa me nitawaelekeza kwa bei niliotaja
kama upo dar' jipatie Universal Modem kwa Tsh.35,000/= bila usumbufu wa kuanza ku'unlock or what...
Model yake 3.5G, HSPA.
Speed 7.2Mbps (HSDPA).
Ina'slots mbili...moja kwa'ajili ya line yako Mtandao wowote na yapili ni kwa'ajili ya Memory Card. Check picha yake apo..
CONTACTS; 0718'646486 & 0769'741223!

Duh hii ndiyo Bongo Darisalama! hakuna wa kumwamini kuanzia Rais hadi tarishi! Mkuu tusaidie sisi tusioelewa zinakopatikana ili tuzinunue kwa hiyo 29,000/=.acha wizi mkuu moderm hizo bei yake 29000/= waelekeze duka lilipo posta sio unataka kula cha juu 6000 haitakupeeka sehemu yoyote hata nyumba hautajenga tuondolee upuuzi wako humu waelekeze ukishwa me nitawaelekeza kwa bei niliotaja
kama upo dar' jipatie Universal Modem kwa Tsh.35,000/= bila usumbufu wa kuanza ku'unlock or what...
Model yake 3.5G, HSPA.
Speed 7.2Mbps (HSDPA).
Ina'slots mbili...moja kwa'ajili ya line yako Mtandao wowote na yapili ni kwa'ajili ya Memory Card. Check picha yake apo..
CONTACTS; 0718'646486 & 0769'741223!
acha wizi mkuu moderm hizo bei yake 29000/= waelekeze duka lilipo posta sio unataka kula cha juu 6000 haitakupeeka sehemu yoyote hata nyumba hautajenga tuondolee upuuzi wako humu waelekeze ukishwa me nitawaelekeza kwa bei niliotaja
aaaaha ndo unitukane me F ukweli unauma eheeee we una kiwanda cha kuzalisha hizo moderm au unakuwa mmachinga tena kwa kutaka kuwaibia watu humu ndani 6000 itakupeleka wapi mbona unaendekeza njaa ambazo hazina msingi
Duh hii ndiyo Bongo Darisalama! hakuna wa kumwamini kuanzia Rais hadi tarishi! Mkuu tusaidie sisi tusioelewa zinakopatikana ili tuzinunue kwa hiyo 29,000/=.