Habar wakuu safar ya kuhamia Dodoma bado I naendelea karibu sofa set kwa bei chee kabisa ya 280k kwa Maelezo na mapicha Whatsap 0763772636 nimeshindwa kuweka picha

Kwa utangazaji huu itakuwia vigumu sana kupata wateja mkuu, ungeeleza unapatikana wapi, sofa set ya watu wangapi kwa ngapi, zimetumika, mpya au zakuhitaji matengenezo, kisha ungepambia kwa picha. Ni ushauri tu.