Pata smartphone yenye ubora stahiki

Pata smartphone yenye ubora stahiki

Mimi naomba unipe bei ya hizi simu kama unazo sababu mwisho wa mwezi huu ntanunua simu naweza kuwa mteja wako mkuu.
Samsung galaxy SIII mini na
Htc one X
USHAURI WA BURE

Kwenye BOLD hapo nakushauri uagize itaku cost kama $156 tu na wiki mbili za kusubiri ambazo kwa Exchange rete ni shillingi 250,000 hivi....chagua moja kutoa 390,000 au 250,000

HTC One X G23 32GB Original HTC One X S720e Android Phone GPS WIFI 4.7 inch Screen 8MP camera Refurbished Unlocked HTC Phone-in Mobile Phones from Electronics on Aliexpress.com | Alibaba Group
 
Mkuu bei ya htc one m8 bei gani? Pia nikitaka tv samsung LED series 5 inch 51 hadi 60 ni bei gani?
 
mkuu usitoke povu.nmekwambia simu original ,kwa maana ukiinunua unaithibitisha kama ni original au la.kama hujui namna ya kuthibitisha simu original au copy sema usaidiwe na sio kukurupuka.then nimeeleza kuwa ikisumbua within a year irudishe ubadilishiwe.so ugumu uko wap?wakati mwingine inatakiwa ukubali hata maendeleo ya wenzako wanapo piga hatua

mkuu nahitaji s2 swali je ni used au brandnew?
 
Asante sana Mkuu! nasubiri kwa Imani kabisa.

Unaweza ukasubiria mpaka basi,watu wa humu wakiongea na wenzao wanahisi kama wanaongea na katuni,wengi wao wamekaa kitapeli tapeli tu(siku point wewe mtoa mada nimeongea tu)
 
Iphone unaziuza bei gani 5 5c na 5s?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mkuu ngoja nikuchekie bei yake then iˊll inform you sababu nokia sijauza mda mrefu
Mimi naomba unipe bei ya hizi simu kama unazo sababu mwisho wa mwezi huu ntanunua simu naweza kuwa mteja wako mkuu.
Samsung galaxy SIII mini na
Htc one X
 
mkuu usitoke povu.nmekwambia simu original ,kwa maana ukiinunua unaithibitisha kama ni original au la.kama hujui namna ya kuthibitisha simu original au copy sema usaidiwe na sio kukurupuka.then nimeeleza kuwa ikisumbua within a year irudishe ubadilishiwe.so ugumu uko wap?wakati mwingine inatakiwa ukubali hata maendeleo ya wenzako wanapo piga hatua

Kaka mbona umenijbu kwa hasira hivi.....
Sasa hebu weka namna yakuthibitisha kama simu especially ya samsung ni OG ili nasisi tujue namna yakutofautisha orginal na fake!!!!!
 
Kuna procedure unapitia katka setting ya simu hadi ukute sungura,Cartoon huyo ndo wataalamu wadai ndo udhibitisho kuwa bidhaa yako ni halisi(original) na si copy
 
Hivi kwan hizo crone hazina hizo cartoon au sungura? Mi nadhan processor ndio kitu ambacho cha kuangalia ktk simu. Crone na original zina processor tofauti.
 
mkuu usitoke povu.nmekwambia simu original ,kwa maana ukiinunua unaithibitisha kama ni original au la.kama hujui namna ya kuthibitisha simu original au copy sema usaidiwe na sio kukurupuka.then nimeeleza kuwa ikisumbua within a year irudishe ubadilishiwe.so ugumu uko wap?wakati mwingine inatakiwa ukubali hata maendeleo ya wenzako wanapo piga hatua

Mkuu nadhani nivyema kama wafanya biashara au wote tunaotangaza katika jukwaa hili tuwe mfano, watu wengi hawajui vitu, hivyo ni wajibu wetu kutoa majibu yanayolenga kuelimisha na si matusi au kukashifiana.

binafsi hata mtu angetukana kweye tangazo langu sioni yakurudisha, wenzetu wametuzidi mbali, hukuti mtu akijimbizana mbovu na mteja.
 
Nashukuru kwa ushaur mkuu.sema sometimes mood huwa inakuwa imejiegesha tu yan ile mtu kukugusa lazma ulipuke
 
Kaka mbona umenijbu kwa hasira hivi.....
Sasa hebu weka namna yakuthibitisha kama simu especially ya samsung ni OG ili nasisi tujue namna yakutofautisha orginal na fake!!!!!

Mkuu salaam
Sasa tufanye kazi
For samsung phones uta dial *#0*# then utaclick sensor ,after that utaclick image test.original zina image ya mnyama with like american flag wakat clone wameshndwa kucheza na hyo kitu.lakn pia unaweza ku download imei application ambayo ukiingiza namba imei za simu husika utapata details za simu ikiwa ni aina ,model etc consider my attachment.for the very beginning here is enough but just wait for more to come
 
Attachments

  • 1412522766397.jpg
    1412522766397.jpg
    33.6 KB · Views: 174
  • 1412522781643.jpg
    1412522781643.jpg
    51.5 KB · Views: 160

Similar Discussions

Back
Top Bottom