Pata smartphone yenye ubora stahiki

Pata smartphone yenye ubora stahiki

Emory Andrew Tate

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
492
Reaction score
630
pata simu original zenye warranty ya mwaka mmoja kwa special order.tuna ofisi kariakoo dar es salaam inayojihusisha na uuzaji wa simu.kupanua uwanja wa biashara sasa unaweza kuweka order na ukaagiziwa simu uitakayo na utaipata ndani ya siku zisizozidi nne.

samsung s1-240000
samsung s2-270000
samsung s3-340000
samsung s4-590000
samsung s5-997000

samsung note2-420000
samsung note3-820000

htc one -710000

mambo yote yanakamilika ofisini na sio mtaani
 
S3 ni 340,000/=?
Kwann iwe cheap hivi?
Au ndo zile copy mnazouzia watu mkijifanya ni used!!!!!
 
S3 ni 340,000/=?
Kwann iwe cheap hivi?
Au ndo zile copy mnazouzia watu mkijifanya ni used!!!!!

mkuu usitoke povu.nmekwambia simu original ,kwa maana ukiinunua unaithibitisha kama ni original au la.kama hujui namna ya kuthibitisha simu original au copy sema usaidiwe na sio kukurupuka.then nimeeleza kuwa ikisumbua within a year irudishe ubadilishiwe.so ugumu uko wap?wakati mwingine inatakiwa ukubali hata maendeleo ya wenzako wanapo piga hatua
 
mkuu ni boni electronics.mtaa wa aggrey.ukiwa na time ya kutembelea sema upate mawasiliano ya ofisi bila kupoteza muda kutafuta jina
 
pata simu original zenye warranty ya mwaka mmoja kwa special order.tuna ofisi kariakoo dar es salaam inayojihusisha na uuzaji wa simu.kupanua uwanja wa biashara sasa unaweza kuweka order na ukaagiziwa simu uitakayo na utaipata ndani ya siku zisizozidi nne.

samsung s1-240000
samsung s2-270000
samsung s3-340000
samsung s4-590000
samsung s5-997000

samsung note2-420000
samsung note3-820000

htc one -710000

mambo yote yanakamilika ofisini na sio mtaani

Je Galaxy note 1 bei gani?
 
very reasonable and affordable price. ofa ni ya siku ngapi boss?
 
very reasonable and affordable price. ofa ni ya siku ngapi boss?

No specific time,but if changes occurs on the price you wanna get notificatin here.gat yours as long as the price is affordable before the offer light turns red!
 
Ofcoz reasonable maana kuna mtu humuhumu JF yeye hiyo s3 anauza 470.
 
Ofcoz reasonable maana kuna mtu humuhumu JF yeye hiyo s3 anauza 470.

Tofaut ya bei ipo kila mahala nayo inatokana na sababu tofaut tofaut mfano tofaut ya bei tunakochukulia mzigo pamoja na charges zingne kama transportation had mzigo ufike dukan.so kila mtu anaweka bei ambayo akitoa fedha aliyotumia had mzigo ufike angalau na yeye anabaki na chochote
 
Wakuu samahani kidogo. Hivi wapi naweza pata Nokia N96 (mpya) na kwa bei gani?
 
Mkuu ngoja nikuchekie bei yake then iˊll inform you sababu nokia sijauza mda mrefu
Mimi naomba unipe bei ya hizi simu kama unazo sababu mwisho wa mwezi huu ntanunua simu naweza kuwa mteja wako mkuu.
Samsung galaxy SIII mini na
Htc one X
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom