Pata sendo za Kimasai na za kisasa zaidi

JourneyMan

Member
Apr 1, 2020
21
13
Hizi Ni full Ngozi kuanzia inner soli mpk mikanda,
Sio zile wanaweka plastic(swappa) kwenye soli.

Hazibabuki kirahisi, sio kwa jua wala maji..

TUSIANDIKIE MATE, ANGALIA MFANO.

20200406_082804.jpg

Hizi nimevaa Mwezi wa kumi huu sasa

Haya mzigo wenyewe huu hapa sasa. Na nitakua napost picha kila siku nikiingiza dizain mpya

Bei ni elf 16,000 Tsh, ila kwa Namba 44 kwenda juu ni 17,000 tsh.

Usije ukafananisha hizi na zile nyingne, hizi nakuhakikishia ubora.

Polish_20200203_211702208.jpg
Polish_20200203_211741118.jpg
Polish_20200203_211827820.jpg
Polish_20200203_211904685.jpg
Polish_20200203_212003063.jpg
Polish_20200203_212026350.jpg
Polish_20200202_151415402.jpg
Polish_20200202_151931973.jpg
Polish_20200202_152035746.jpg
Polish_20200202_152124185.jpg
Polish_20200202_152231163.jpg
Polish_20200203_133549196.jpg
Polish_20200203_133821161.jpg
Polish_20200203_195159951.jpg
Polish_20200203_195246960.jpg
Polish_20200203_195338072.jpg
Polish_20200203_195456741.jpg
Polish_20200203_195544779.jpg
Polish_20200203_195634799.jpg
 
Back
Top Bottom