Pata ramani nzuri za nyumba

Pata ramani nzuri za nyumba

rasdavy

Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
84
Reaction score
14
Tunachora ramani za nyumba na kup ushauri wa ujenzi
tutafute kwa 0714155854 kwa mawasiliano
1.jpg 4.jpg
 
Duuu ngoja nizitafute hela mimi nitawatafuta kweli hii nyumba ina ramani nzuri. lakini kweli raman hii mmechora wenyewe au mmegoogle tu?
 
Unayo ramani vyumba 3 vya kulala ya kujenga kwenye kiwanja chenye ukubwa wa mita 26 kwa 16 iliyoidhinishwa na engineer wa manispaa.
 
Unayo ramani vyumba 3 vya kulala ya kujenga kwenye kiwanja chenye ukubwa wa mita 26 kwa 16 iliyoidhinishwa na engineer wa manispaa.

Ipo na kuhusu uidhinishaji . Kila mtu anaidhinishiwa ramani yake na halmashauri husika kulingana na plot occupancy na vigezo.
 
hiii ina vyumba vingapi na unaikadiria gharama yake kiasi gani kwa dsm

hiyo ni vyumba vitatu mkuu, kwa makadirio inaweza ikacheza kwenye 35m to 40 kulingana na material yaliyotumika otherwise mpaka tucalcute
 
hiyo ni vyumba vitatu mkuu, kwa makadirio inaweza ikacheza kwenye 35m to 40 kulingana na material yaliyotumika otherwise mpaka tucalcute

ukiweka ramani jaribu kuweka na makdirio kabisa
 
Back
Top Bottom