Mdau Makin
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 767
- 207
- Thread starter
- #21
Wadau kwa mahitaji ya Nyumba na Viwanja Jijini Arusha.
Wasiliana nasi kwa:
+255767287941
Wasiliana nasi kwa:
+255767287941
Wadau kwa mahitaji ya Nyumba na Viwanja Jijini Arusha.
Wasiliana nasi kwa:
+255767287941
Mkuu........huna viwanja Murriet......?......
Natafuta kiwanja maeneo ya kwa mrefu ukubwa husiopungua 20 X 20 kwa milion 5
Mkuu kwa hiyo bei huwezi pata. Hiyo size kwa 10m ilikuwa bei ya mwaka juzi. Ni mkazi wa hayo maeneo na nimeshazunguka sana Arusha bei ni za kuruka. Ukishindwa mwingine anakichukua fastaa!!