Pata nyumba na viwanja jijini Arusha

Pata nyumba na viwanja jijini Arusha

Kama unahitaji nyumba, viwanja, magari, vyumba, frem za maduka, nyumba za stoo (Godown) n.k.

ndani ya jiji la Arusha, wasiliana nasi kwa 0767287941 Kwa sasa tuna:

1. Nyumba Moshono yenye: Vyumba2(master 1), iko ndani ya Geti. Bei: 300 kwa mwezi. Umbali: Kilomita 1 kutoka Club D.

2. Kiwanja Sakina, Ukubwa: 800sqm, Mahali: mita 800 kutoka Lami..
Bei: 30 Milioni

3. Kiwanja Moshono, Arusha.
Ukubwa: 600sqm
Bei: Milioni 12.
Mahali: Mita 400 kutoka Main Road (Old Moshi Road).

4. Kiwanja Matevezi, Arusha.
Ukubwa: 680Sqm(title deed 99yrs)
Mahali: Matevezi mita 20 kutoka lami.
Bei: 8 Milioni


5. Kiwanja Olasiti, Arusha. Ukubwa: 400Sqm

Mahali: Olasiti mita 800 Kutoka lami.

Bei: 12Milioni

Karibuni wote

Mawasiliano: 0767287941
 
Habari ya hasubuhi wana jf Ninauza Gari aina ya Rav4 new model kwa
Tsh:12 milioni

Namba BMR.....
Mwenye anahitaji anitafute kwa
namba:
+255767287941
 
Wadau tuna nyumba
za 2 bdrm za
kupanga kwa laki
2.5.. mazingira saafi
kabisa

MAHALI:
sakina jijini Arusha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom