Je, wewe una umri wa miaka 18 na kuendelea na unaweza kuandika mashairi ya muziki pamoja na kuimba/ku-rap na unatamani kupata nafasi ya kurekodi nyimbo ila unashindwa kwa sababu ya kukosa fedha?
Jipatie nafasi ya kuingia studio, kusaini mkataba wa kazi za muziki na kurekodi nyimbo bure kabisa bila ya wewe kuchangia hata senti tano.
Jinsi ya kutuma maombi
Lazima uwe mkazi wa Arusha.
Rekodi audio fupi ukiimba nyimbo uliyoitunga au wimbo wowote uupendao.