Pata Msaada wa Kiteknolojia kwa Urahisi Hapa

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
355
276
Habari waungwana na wana JF, napenda kuwa karibisha kwenye group la Whats App Tanzania Tech hapa utaweza kupata msaada wa kiteknolojia kutoka kwa watu mbalimbali ikiwa pamoja na kupata makala mbalimbali ambazo pengine zinaweza kukusaidia kurahisisha maisha yako kwa upande wa teknolojia. Hivyo basi kama ungependa kupata msaada juu ya simu, programu, kompyuta, mitandao mbalimbali au hata kitu chochote kinacho husiana na teknolojia. Karibuni sana unaweza kutumia link hapo chini kujiunga Asanteni.

Pia tunakukaribisha kama wewe ni mdau wa teknolojia na ungeweza kusaidia wengine ni vizuri tujumike wote kuweza kusaidina

JIUNGE KWA KUBOFYA HAPA

Kwa habari na maswali zaidi kuhusu group hili unaweza kuuliza kupitia sehemu ya maoni hapo chini, pia kama untaka kusoma habari mpya za teknolojia kila siku unatweza kutembelea tovuti ya Tanzania Tech.

 
Back
Top Bottom