Pata mkopo kwa dhamana ya vyeti

Che Mkira

Senior Member
Joined
Jul 8, 2014
Posts
117
Reaction score
152
Habari wakuu? Kampuni ya DMS inatoa mikopo kwa dhamana ya vyeti. Kama uko tayari tufahamishe juu ya utayari wako na sehemu uliyopo tutakufikia.
 
Naomba ufafanue kwamba nyie mnatoa kiasi gani kwa kila cheti mfano kwa cheti stashahada, Shahada, shahada Uzamili na uzamivu, mnatoa kiasi gani ?
 
Habari wakuu? Kampuni ya DMS inatoa mikopo kwa dhamana ya vyeti. Kama uko tayari tufahamishe juu ya utayari wako na sehemu uliyopo tutakufikia.

Hili jambo jema kabisa, imagine mtu hana asset yoyote atajikwamuaje, ila ni kuwa na tafadhari tu mwingine anaweza asione thamani ya vyeti na hasa akisha win maisha
 
Fwafwanua chweto kwa chweti he changu cha LA saba vp
 
Habari wakuu? Kampuni ya DMS inatoa mikopo kwa dhamana ya vyeti. Kama uko tayari tufahamishe juu ya utayari wako na sehemu uliyopo tutakufikia.
Weka mchanganuo wa kiasi cha mkopo mnachotoa,
 
Ninyi ni nani...??? Kwa maana kampuni, mpo wapi, mawasiliano yenu
 
Usawa huu si wakuingizana mjini.
DMS ni nini?
Inatambulika kitaifa? Namba yake ya usajili ni ipi?
Mbona haurudi mkuu!?
 
Bashite alikuwa anatafuta cheti kijanja hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…