STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,260
Ni bonge La Mbinu Liliobuniwa Na wanawake
wachache Wanaopenda Ndoa ..Hii Mbinu Imezaa Ndoa
Nyingi Ambazo Hazijatoka Kwa Mungu ila Zimetoka
Kwa Mjamzito Mwenyewe..
Sawa Tunajua Mnapenda Kuvaa Pete..Mnapenda Kuitwa Muke Wa...Mnapenda Matarumbeta Na kwaito
Siku Ya harusi....
Leo Utajiona Mjanja Umewin..Umemtegea Kijana
Akakupa Mimba Alafu Akakuoa....Lakini Jua Siku Ya
Kupewa Taraka ,Mashost Hawa hawa waliochekelea
ulivyomkomesha mshkaji kwa kumtegeshea ndo watakuwa wakwanza kusambaza ujumbe kwenye
WASAPU...kwamba "shost shuzi la ndoa limemshinda
alidhani ndoa ni vinyweleo vinaota tu"
Ndoa Haina matarumbeta...acha iletwe na mungu sio
na mbegu za kiume..