Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 Feb 9, 2016 #21 Yooote hiyo kutafuta usawa na wanaume!!? Inasikititisha sana kutojikubali
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Feb 9, 2016 #22 Chapa Nalo Jr said: Yooote hiyo kutafuta usawa na wanaume!!? Inasikititisha sana kutojikubali Click to expand... Hatutafuti usawa Bali tunarahisisha tu kazi
Chapa Nalo Jr said: Yooote hiyo kutafuta usawa na wanaume!!? Inasikititisha sana kutojikubali Click to expand... Hatutafuti usawa Bali tunarahisisha tu kazi
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 Feb 9, 2016 #23 Jimena said: Hatutafuti usawa Bali tunarahisisha tu kazi Click to expand... Endeleeni na hizo jeuri, men wanaona heri changudoa kuliko wife
Jimena said: Hatutafuti usawa Bali tunarahisisha tu kazi Click to expand... Endeleeni na hizo jeuri, men wanaona heri changudoa kuliko wife
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Feb 9, 2016 #24 Nimemkumbuka Marehemu Ngwea (Mungu amlaze mahala pema peponi). Kibao chake alichoshirikiana na Lady Jay Dee - Sikiliza
Nimemkumbuka Marehemu Ngwea (Mungu amlaze mahala pema peponi). Kibao chake alichoshirikiana na Lady Jay Dee - Sikiliza
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,461 Reaction score 185,069 Feb 9, 2016 #25 Hizo ni kwa wale waokojoa kuvaa na kuondoka bila kujisafisha... Ila kwa mwanamke msafi lazima achuchumae kujisafisha baada ya haja ndogo...
Hizo ni kwa wale waokojoa kuvaa na kuondoka bila kujisafisha... Ila kwa mwanamke msafi lazima achuchumae kujisafisha baada ya haja ndogo...
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Feb 9, 2016 #26 Chapa Nalo Jr said: Endeleeni na hizo jeuri, men wanaona heri changudoa kuliko wife Click to expand... Gentlemen hawezi kuwa na mawazo kama hayo yako.
Chapa Nalo Jr said: Endeleeni na hizo jeuri, men wanaona heri changudoa kuliko wife Click to expand... Gentlemen hawezi kuwa na mawazo kama hayo yako.
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,456 Reaction score 1,569 Feb 10, 2016 #27 Ubunifu mwengine wa kijinga
Malyakishu JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,968 Reaction score 2,351 Feb 10, 2016 Thread starter #28 Chapa Nalo Jr said: Endeleeni na hizo jeuri, men wanaona heri changudoa kuliko wife Click to expand... Hahaha hata wanawake wanaona heri changubobu kuliko husband
Chapa Nalo Jr said: Endeleeni na hizo jeuri, men wanaona heri changudoa kuliko wife Click to expand... Hahaha hata wanawake wanaona heri changubobu kuliko husband
Malyakishu JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,968 Reaction score 2,351 Feb 10, 2016 Thread starter #29 Smart911 said: Hizo ni kwa wale waokojoa kuvaa na kuondoka bila kujisafisha... Ila kwa mwanamke msafi lazima achuchumae kujisafisha baada ya haja ndogo... Click to expand... Baada ya shughuli nikuchuchumaa na kujisafwisha kwan tatizo liko wap
Smart911 said: Hizo ni kwa wale waokojoa kuvaa na kuondoka bila kujisafisha... Ila kwa mwanamke msafi lazima achuchumae kujisafisha baada ya haja ndogo... Click to expand... Baada ya shughuli nikuchuchumaa na kujisafwisha kwan tatizo liko wap
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,461 Reaction score 185,069 Feb 10, 2016 #30 malyakishu said: Baada ya shughuli nikuchuchumaa na kujisafwisha kwan tatizo liko wap Click to expand... Mantiki ya hicho kifaa ni wasichuchumae...
malyakishu said: Baada ya shughuli nikuchuchumaa na kujisafwisha kwan tatizo liko wap Click to expand... Mantiki ya hicho kifaa ni wasichuchumae...
Malyakishu JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,968 Reaction score 2,351 Feb 10, 2016 Thread starter #31 Jimena said: Gentlemen hawezi kuwa na mawazo kama hayo yako. Click to expand... Swadaktaaa gentlemen hawezi kabisa
Jimena said: Gentlemen hawezi kuwa na mawazo kama hayo yako. Click to expand... Swadaktaaa gentlemen hawezi kabisa
Malyakishu JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,968 Reaction score 2,351 Feb 10, 2016 Thread starter #32 Smart911 said: Mantiki ya hicho kifaa ni wasichuchumae... Click to expand... Baize wei namtuwachee
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,461 Reaction score 185,069 Feb 10, 2016 #33 malyakishu said: Baize wei namtuwachee Click to expand... Unapenda kukojoa wima?
N Ndakilawe JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 4,815 Reaction score 2,832 Feb 10, 2016 #34 jinunulie mwenyewe
Malyakishu JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,968 Reaction score 2,351 Feb 10, 2016 Thread starter #35 Smart911 said: Unapenda kukojoa wima? Click to expand... Aiseee napenda
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,461 Reaction score 185,069 Feb 10, 2016 #36 malyakishu said: Aiseee napenda Click to expand... Ndiyo huwezi sasa... lazima uchuchumae na kujibinua,,, Jibadilishe na kuwa mwanaume...
malyakishu said: Aiseee napenda Click to expand... Ndiyo huwezi sasa... lazima uchuchumae na kujibinua,,, Jibadilishe na kuwa mwanaume...
Chumchang Changchum JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 6,130 Reaction score 6,409 Feb 11, 2016 #37 Dalili za kiama tunaziona kila uchwao..
Malyakishu JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,968 Reaction score 2,351 Feb 11, 2016 Thread starter #38 Chumchang Changchum said: Dalili za kiama tunaziona kila uchwao.. Click to expand...
Malyakishu JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,968 Reaction score 2,351 Feb 11, 2016 Thread starter #39 Smart911 said: Ndiyo huwezi sasa... lazima uchuchumae na kujibinua,,, Jibadilishe na kuwa mwanaume... Click to expand...
Smart911 said: Ndiyo huwezi sasa... lazima uchuchumae na kujibinua,,, Jibadilishe na kuwa mwanaume... Click to expand...