Pata mamilioni kwa mtaji wa elfu 20 tu.

Pata mamilioni kwa mtaji wa elfu 20 tu.

changamka kijana

New Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
3
Reaction score
0
NI Siku #89 Tu Zimepita Toka Kuanza Kwa Crowd Rising
Na Tayari WAtu Wanazidi Kujiunga Bado Wewe Tu!
KAribu KAtika Familia Ya Mafanikio
Badili Muelekeo wa Maisha Sasa KWa Tsh.20,000/= Tu
Kwa maelezo zaidi whatsapp / call 0716193423
 
Mkuu Kama Inawezekana Nenda Kalime Bamia Unaweza Ukatoka. Kwasababu Hapa Hakuna Utakae Muibia Kwa Mtindo Hio.
 
Hahahahahaaa...afadhali hata ungeweka maelezo hapahapa...vinginevyo ndio ule ...Wa FLP na gnld na oriflame...and the like.
 
Nipo level ya pili ambayo imeniwezesha kupata milioni moja na sijamlazimisha mtu nimashare fursa na kwa taarifa yenu wanaotaka wamenitafuta na wanaendelea kunitafuta
 
Nipo level ya pili ambayo imeniwezesha kupata milioni moja na sijamlazimisha mtu nimashare fursa na kwa taarifa yenu wanaotaka wamenitafuta na wanaendelea kunitafuta
Enyi members mliomtafuta jamaa jitokezeni mtupatie mrejesho.
 
HAHAHAHAHA umejiunga JF j3 ili uje ufanye utapeli? pole sana wrong # ndugu yangu rudi tu shamba ukalime si kwa utawala huu
 
Back
Top Bottom