Pata kuku kienyeji kwa bei nafuu

idea

Senior Member
Apr 3, 2009
123
16
Nauza Kuku kienyeji wenye uzito kati ya kilo 1.5 -2. kuna jogoo wachache na tetea wako 100. Bei ni sh. 15000 kwa kila mmoja. Tetea wameanza kutaga. Tuko Dar e salaam. Piga namba 0766302961 kwa maelezo zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom