sajumo
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 1,834
- 1,055
Kuna mzee mmoja alitembea na mwanawe na hatimaye akampa mimba kutokana na mila na destur alikamatwa na kupelekwa mahakmani aliulizwa kwa nn alitenda mambo. Ya ajabu na aibu
Jibu. Samahani bwna hakim
Napend nkuulize swali
utafanyaje endapo utalima shmba kwa jhhudi kubwa na kupanda michungwa mingi sana ukitegemea machungwa meng lakini mwishowe katika michungwa mia moja uliyoipanda mchungwa mmoja na kuzaa chungwa moja je chungwa hili utalipeleka sokoni au utalila mwenyewe
Hakim alijibu hata kama sipend machungwa ila kutokana na juhudi zangu na jsho nlilolitoa hilo chungw ntalila mwenyewe
Mfungwa alidakia swadakta pomoja na juhudi zote kutafuta watoto na wake kibao nilio oa nilipata mtoto mmoja
tu vipi nimuache mtoto huyu aende