Plot ina uzwa ipo Tabata Kinyerezi shule karibu na bank ya mkopo njia ya kwenda songasi,haufiki songasi,ukubwa ni ni miguu 25 kwa 25 bei ni tsh Milion 27 maongezi,pana foundation imara sana ina vyumba 4 vitatu ni master kimoja sio master,siting room dining room kitchen with store and public toilet,hakina hati ni skwata ila wanao mzunguka wengi wamepima wana title, kwa maelezo zaidi call me 0652472486
Mushi ceo tanzania properties
Mushi ceo tanzania properties