Kuna jezi ambazo kwa lugha siyo fasaha tunaziita jezi famba, yani ni malonya huwa zinauzwa Tsh 7000.Una maana Gani unaposema ni original kiongozi?
Hivi arsenal za ugenini bado awajatoa?Sio Mabingwa ila uzi wao ni mkali kinyama.
Chukua size yako chap kwa Tsh 18,000/= kuanzia pcs 5
Au Tsh 22,000/= 1pcView attachment 2653656
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Una maana Gani unaposema ni original kiongozi?
Uzi mkali sana amini nakwambiaHata Hakuna Uzi mkali hapo,zote miyeyusho tu
Acahana na Amazon huko unapigwa amini nakwambia...Njoo uchukue kwangu.View attachment 2653744
Kumbe Amazon wanatupiga, wewe jezi orijino unauza 18,000 zikiwa5, na jezi moja Amazon haifikii hata bei ya pc5
Jina la duka?Thanks...
Nimefanya edit
Duka lipo Kariakoo mtaa wa Kongo karibu na Big Bon mkabala na NMB Congo Branch
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mkuu najaribu kukucheck pm inagoma,Duka lipo wapi hapo Kasulu?
Duka lipo Kariakoo mtaa wa Kongo na MkunguniMkuu najaribu kukucheck pm inagoma,
Juu kabisa nimetoa maelezo...Hv uzi wa chelsea uko wapi?
Nicheki nshasolveMkuu najaribu kukucheck pm inagoma,
Mimi nimeuliza hapo !View attachment 2653744
Kumbe Amazon wanatupiga, wewe jezi orijino unauza 18,000 zikiwa5, na jezi moja Amazon haifikii hata bei ya pc5