Una device ya 4G?ngija ntafute line yang,,..asap
viettel Itakua no shida nchi nzima kwa mkupuo
Kadiri ya maelezo yao inaanza juneHivi tigo hiyo huduma ya 4g bado haijaanza kutumika
Hivi tigo hiyo huduma ya 4g bado haijaanza kutumika
jamani hii kweli au promo zao tu
Dar-es-Salaam! Pata intaneti ya 4G LTE kwenye maeneo haya. Piga *149*00# kwa vifurushi bomba. SMART - let's surf! SMART 4G LTE - Smart - Lets Talk#Smart4GLTEView attachment 251810
Vietell wanakuja na 4G!???