Pata huduma ya ving'amuzi na ufundi

Pata huduma ya ving'amuzi na ufundi

Awadh Upunda

Member
Joined
Feb 8, 2017
Posts
27
Reaction score
11
Tupo Magomeni Mapipa
0652170490
652d05caa78c4c5fe4124018fd48fc53.jpg
 
mbona taarifa haijakamilika bei gani vipi kuhusu chaneli za ndani mnauza ana ni bure
 
Dstv 79000
Azamtv 135000
Gharama ya ufundi 30000
Kuhusu chanel za ndan, azamtv endapo Kifurush chako kikiisha zinabak chanel mbili TBC,TV1,
Dstv hubaki chanel mbili TBC, Chanel10
 
Dstv 79000
Azamtv 135000
Gharama ya ufundi 30000
Kuhusu chanel za ndan, azamtv endapo Kifurush chako kikiisha zinabak chanel mbili TBC,TV1,
Dstv hubaki chanel mbili TBC, Chanel10 pia tunafunga Tv ukutani(tv set up)
 
Bwana awadh mimi kingamuz changu cha azamu kilipigwa na shot ya umeme baada ya radi kupiga kikaungua sasa gharama yake ni kiasi gani
 
Kinga'azi cha azamtv huwa kina garantii ya mwaka km bado kpo kwenye garantii utafanyiwa bure km garantii imeisha gharama yke ni 20000 elfu
 
Nunua dstv kwa Tsh 99000 na upate mwezi mmoja bure kifurushi cha compact bei hii ni bila ufundi yaan installation gharama ya ufundi ni Tsh 20000 tu
Wasiliana nasi 0652170490
Ulipo Tunakufikia
94fa8b2eb6ce8a1427d66fb920f8eca06ae9785f.jpeg
 
Nunua dstv kwa Tsh 99000 na upate mwezi mmoja bure kifurushi cha compact bei hii ni bila ufundi yaan installation gharama ya ufundi ni Tsh 20000 tu
Wasiliana nasi 0652170490
Ulipo TunakufikiaView attachment 1075840
Kaka,
Hii ndo bei ya kila sehemu hata mitaani wanauza hivyo hivyo. Sasa mtu avutike na lipi kukupigia wewe kaka?

Njoo na something new ambacho mtu akiona anasema hata bora akucheki wewe badala ya kwenda wakala
 
Katika utoaji taarifa haijalishi upo karibu vp na huduma cha muhimu ni kujua kile kinachoendele kwani co wote wanaolijua hilo
 
Back
Top Bottom