Pata habari zote za SportPesa Super Cup..

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
Tutapeana taarifa zote za Kombe la Sportpesa hapa.

Michuano itaanza tarehe 4 na kufika tamati tarehe 11 mwezi ujao,kwa upande wa timu shiriki zipo nane kutoka mataifa ya Tanzania bara$visiwana na Kenya. Nazo ni
Yanga(Tz)
Singida United(Tz)
Simba(Tz)
Jangombe boys(Zanzibar)
Tusker(Ke)
Gor Mahia(Kogalo)Ke
Nakuru all stars(Ke)
Fc Leopards(Ke)

Michuano itafanyika Tanzania uwanja wa Uhuru Dar es Saalam,vyombo vya habari IPP watakua mubashara.

Mshindi atajinyakulia Kikombe na pesa taslimu MILIONI 60.
1496166565568.jpg
1496166577748.png

Twende kazi nani ataondoka Mshindi kwa mara ya kwanza ndani ya michuano mipya ya Sportpesa Super cup ni Fumbo.

Tusubiri tarehe 4 Sio mbaali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom