bitcoiner sports wear
Member
- Dec 7, 2025
- 16
- 21
Inawezekana kabisa betting ikakupa pesa, I repeat inawezekana! Lakini by doing it proffessionally.
Zipo strategy za kutengeneza pesa kupitia betting, wamiliki wa makampuni ya kubet wanapata faida kwa sababu wanacheza na akili zako. Wanaelewa kwamba kwenye pesa kuna uoga (fear) tamaa (greed) pamoja na matumaini (hope) wanatumia hizi hisia tatu kukuendelea kuchukua pesa zako na kukufanya ukose pesa.
Hizi hisia ndio zinakuchakaza, utatamani tu kushinda, utakuwa na matumaini kuwa utashinda lakini pia utaogopa kutia pesa wakati ulipochambua na kuona odds favors. Kwa maana hiyo hizi hisia zitakunyima Patience, utulivu wa akili, strategy, discipline pamoja na consistency.
Proffessional bettors kama akina Billy Walters, Tonny Bloom, Zeljiko Ranogajec, Edward Thorp, Joseph Buchdahl, Bill Benter, Allan Wood, na wengine wengi ikiwepo wabongo kadhaa kama mimi hapa Travis G, au mwamba mmoja anajiita rockstar (siwezi kuwataja akina sativa na taivina kwa sababu sijui kama ni real proffessional gamblers or not), hawa wote wanajua mbinu ya kupata faida kwenye betting sio kuwa mzuri kwenye analysis pekee, ila ni uwezo wa kutengeneza strategy na ku-stick na strategy ili ifanye kazi kama system isiyosumbuliwa na mihemko.
Wanajua wakati wa kuwa patient, wanajua greed ni adui, hawaamini katika hope, wanajua bet yoyote inaweza kuwin au kulost, wakiloose hawapanic, wakiwin hawaendekezi tamaa, they have rules, THEY TREAT BETTING LIKE BUSINESS NOT GAMBLING. YES, WE TRADE WE DON'T GAMBLE. Muhindi na wamiliki wa betting companies watendelea kupiga pesa kwa kuwa Wana system inayofanya kazi kama trained machine
INATAKIWA UJUE KUWA;
SRATEGY 1, sisi pale na timu yetu ya Betting Intelligence huwa tunaiita La mentana, hii ni risky but Juicy!
Capital; weka capital kutokana na uwezo Wako, ila hapa natumia mfano laki mbili, 200,000
Odds: odds nne. (4 odds)
ex No. of bets. 5 bets
Kwenye hii strategy itabidi urisk 25% ya mtaji wako kwenye kila bet yenye odds 4, ambapo utaplace bet 5 katika kila round (1 round means 5 bets) hivyo kwa kila mkeka unaweka 25% (50,000) x 4 odds
Hii inamaanisha utawin 200,000
Ukiloose una loose 50,000 kwa mkeka.
Hii inamaanisha ili upate hasara ya -100% inabidi uchane mikeka yote mitano! Ukiwin mkeka mmoja kati ya mitano unawin 200,000 no loss, no profit, ukiwin mikeka miwili kati ya mitano Unawin 400,000, 200,000-profit.
Ukiwin Mikeka mitatu unawin 600,000. 400,000 profit, unaweza kuwin mikeka minne au mitano lakini this is almost impossible, Me mwenyewe pamoja na experience na good analysis huwa nawin miwili, au mitatu in a good round. Ni vizuri kuanza na mtaji mdogo hata wa majaribio hata kama ni Tshs 2000.
KWENYE HII STRATEGY ZINGATIA YAFUATAYO
1. Odds 4 inabidi ziwe zilizochambuliwa vizuri ili ushinde bet angalau mbili ili kupata faida.
2. Usibet mkeka zaidi ya mmoja kwa siku, weka mkeka mmoja tu kwa siku. Kumbuka unahitaji kuwin mikeka miwili tu ili upate faida hata kama ni kwa wiki nzima.
3. Hakikisha unabet odds 4, usizidishe wala kupunguza
4. stake 25% hakuna kuadjust
5. Usi cash-out
6. Betting ni game ya probability, hivyo ni vizuri kusilikiza "numbers" \maths pamoja na data zinasemaje
7. Weka hisia pembeni usiharibu mfumo.
8. This strategy can Fail, sio 100% so it's better to risk what you can afford to lose.
Strategy two na three nitazileta kwenye comment kwa sasa, nakaribisha maswali.

- Hakuna mkeka wa uhakika wala sure odds haipo, ni utapeli
- hakuna fixed matches,
- Kila mtu analoose mikeka, hata professional bettors.