Pata dondoo za maswala ya kazi na ajira hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pata dondoo za maswala ya kazi na ajira hapa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by omkude, Apr 11, 2012.

 1. o

  omkude New Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana jamii,

  Kuna tovuti inatoa taarifa kedekede za kazi na ajira bure. Huko tunaweza kujifunza mambo mengi ya manufaa kwetu, kama vile maswala ya viwango vya chini vya mishahara kisheria, sheria za kazi, haki za mfanya kazi, na pia kuna survey wanafanya ya viwango vya mishahara/kipato, watatoa matokeo hayo kwenye mtatandao huo. Pia wanatoa ushauri kuhusu career, interview tips, CV tips and nyingine nyingi. Nimeona niwashirikishe wadau hasa hii ya interview tip tuweze kujifunza na kujiweka kisawasawa pale tutakapoenda kwenye interview.
  Link yao ni: AfricaPay.org/Tanzania - All about Pay, Income and Work in Tanzania, Minimum Wage Tanzania

  au Mywage.org/Tanzania - All about Income and Work in Tanzania, Minimum Wage Tanzania

  Karibuni kujifunza wana jamii
   
 2. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Asante mkuu,hii kitu ni ya manufaa sana!
   
 3. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sawa mkuu, asante kwa hili pia
   
 4. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Asante dogo
   
Loading...