Pata dola 50 ukiweza kunifungulia simu aina ya Xiaomi Mi 9

Pata dola 50 ukiweza kunifungulia simu aina ya Xiaomi Mi 9

Kwanini usifute tu alafu hiyo pesa ununulie data recovery software 49$ una recover lost data, kama hii njia itakupa soln tuma dola 2 ya vocha hapa
Niki wipe data,io software itaweza kuzi recover chief?
 
Late to the party,,i hope utakuwa umeshaifungua..
Je USB debugging ulihiruhusu kwenye developer mode?
Jf fix notification please.....
 
Gmail account si ipo humo na unaijua? Na paswed yake?

Kama ndiyo log in your gmail account kisha device, halafu disable protection password itatoka.

Hii njia naitumia kwa Tecno sijajua kwa Mi ila kwakua zote ni Android naona haitakua ishu.

Ukiweza toa password kwa njia hii naomba unijulishe ili nikipata kazi ya mtu niwe na sure fire way ya kutatua tatizo.
 
Late to the party,,i hope utakuwa umeshaifungua..
Je USB debugging ulihiruhusu kwenye developer mode?
Jf fix notification please.....
Debugging haiko activated mkuu so niliamua kuifungua tu kwa ku wipe kila kitu
 
Castr, Njia hii haikukubali mkuu, security za hizi simu nazo si haba.
Nlkua na details zote ikazngua,mpaka nkawapata mawasiliano na customer service wao,wakasema anaeweza kufungua ni ma engineer wao,ubaya walkua mbali na nlipokuwepo so nka wipe tu data zangu
 
Rooney tofauti na mada kidogo, unaonaje bidhaa za Xiaomi hasa upande wa simu ziko vizuri kweli.
 
Rooney tofauti na mada kidogo, unaonaje bidhaa za Xiaomi hasa upande wa simu ziko vizuri kweli.
Ziko vizuri tena sana mkuu.
Nmetumia almost 5 tofauti kwa muda tofauti binafsi nmezipenda tena sana.
 
Shukrani mkuu, toleo jipya lililo sokoni kwa sasa ni lipi kwa upande wa simu pamoja na bei yake.
Ziko vizuri tena sana mkuu.
Nmetumia almost 5 tofauti kwa muda tofauti binafsi nmezipenda tena sana.
 
Back
Top Bottom