Pata dola 50 ukiweza kunifungulia simu aina ya Xiaomi Mi 9

Rooney

JF-Expert Member
Jan 16, 2015
3,782
3,909
hello,
Nina simu ya Xiaomi imepata tatizo, simu yangu inanigomea kuingia first space kwa error ya wrong password baada ya kuibadili password, nikiweka password mpya inakataa, ya zamani pia inakataa. Je, kuna solution yoyote ambayo sitaweza kupoteza data zangu?

ambae atanipa solution ya kuifungua bila kupoteza data zangu nitamreward 50$.
.
NB: njia official ya kuifungua ipo nitaitumia kama last option sababu itawipe data zangu zote.
kwa umuhimu wa data zangu atakaifanikisha hili zoezi sitamuangusha.

so guys the bounty is on!!
UPDATE
REWARD NI 100 $
DEADLINE-MONDAY EVENING (EDT zone)
 
Dollars zinasound high na deals kama hizi nikiziona; natamani ningesomea IT
 
unamaanisha 50$ au 50k
kama ni 50$ weka namba hapa kesho asbuh nkupigie tusolve chap
 
leme try them mkuu,ikikubali njia yyte hapo ntaleta feedback
 
Back
Top Bottom