Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,316
- 10,782
wekeni gharama zenu hapa,mtakosa pesa
shauri yenu
Inategemea na specifications. Idadi ya vyumba. Design etc.
wabongo kweli tuko nyuma
specification pia nikutajie?
huwezi onesha kazi zako za zamani na bei yake?
wewe ukiweka specification utapata hasara ipi?
Tunaweza zaidi porojo kuliko matendo..jamaa ameambiwa ataje gharama zake, yeye analeta kiswakingi!!