Naleta uzi huu kwenu wakuu naomba mnisaidie hapa mimi nilimpenda binti mmoja hapa dar esalaam nikaja kumuoa ikabidi nifuate taratibu zote kama kawaida lakini mahari mzee baba milion 5 naishi kwenye chumba cha elfu kumi na tano sasa nikawa sina hiyo pesa binti nikampa zawadi ya kinikumbika yaani kifurushi cha miezi tisa nikatuma watu waende kwao na mahari binti akagoma kuwa mahari haotoshi mi ni kacool maana yupo zanzibar mpaka dk hii na kwao hawajui kama anamimba sasa amekuwa mtu wa kiburi na anapenda kiwa na asira muda mwingi sasa nifanyeje maana sikupenda maishani mwangu nizae watoto tofauti tofauti amebadilika tangu amepata mimba ana hsira hatari nimfanyeje huyu?