Password ya tecno t1 for enabling restore pf factory setting

JituParaTupu

Member
Nov 20, 2008
92
9
Habari wakuu,

Nina simu aina ya Tecno T8. Nilikuwa nasikiliza miziki kutoka simu hii kwenye car stereo. Nashangaa baada ya matumizi hayo ile alama ya "Headset" haikupotea mpaka sasa na imepelekea kutoweza kusikiliza simu yoyote ninayopigiwa na wala aliyenipigia hanisikii kabisa. Ili kutatua tatizo hilo nilishauriwa ni-restore factory settings ambayo nayo yataka "Input Password" ambayo siifahamu. Kwa anayefahamu anijulishe hiyo password au kama kuna njia ya kutatua tatizo hili. Natanguliza shukrani zangu, nikitegemea kusaidiwa.
 
Back
Top Bottom