mzuri homy
Member
- May 24, 2014
- 16
- 1
Muulize Evelyn Salt me mwenyewe namshangaa
Umenisoma kweli Evelyn Salt. Mzima wewe?
Jamani naomba kuuliza hivi kwa nini mume au mke, girlfriend or boyfriend wanawekeana password kwenye simu?
Kuna nini hapo kinachofichwa?
Au michepuko ndo mingi?
Je ni halali kwa mume au mke kuwekeana password?
I real hate that thing....mi siweki kwanini wewe uweke??
ugomvi wake si wa hapa...sijui utaniambia nini nikakuelewa