Password Protected Excel Sheet

ruphem2003

Member
Joined
May 14, 2011
Posts
18
Reaction score
0
Habari ya saizi wana JF,minaombeni msaada kama kuna mtu ambaye anajua jinsi ya ku hack password protected excel file,yani nikwamba kuna files nataka kufungua,ni za excel lakini nashindwa kuona contents kutokana na kwamba zina password,je kuna jinsi ya kuzi unlock,tafadhali naomba nisijibiwe vitu kama "muombe password mtu aliyezifunga" naomba jibu lenye akili....
 
Excel 2000 and before haziko secure, excel 2002 and above inategemea, Excel 2010 iko secure.

Ila zote unaweza kuotea password "bruteforce" na ukisearch utaona kuna program zinafanya hiyo kazi ya kuotea all possible passwords, so inategemea na uzuri wa password aliyochagua mtumiaji kama ni password nzuri ilaweza ikakuchukua miaka zaidi ya 10,000 kuiotea, kama ni password mbaya unaweza kuipata ndani ya dakika 5.
 


kama alivyosema kang nimewa kufungua passowrd protected file ya Ms word. But ilikuwa ni Office 2002. Sasa wewe unatumia Office gani.????

Otherwise anza na google. Mimi nilifanikiwa kwa ku gogle. otherwise sema unatumia Office gani nikusadie ku google article zinazoweza kuusaidia

Mfano google imenikutanisha na article kama hii http://www.petri.co.il/excel-password-recovery.htm. sijui kama hiyo software inafanya kazi.

Hata youtube kuna video na solution kama hii

 
Last edited by a moderator:
kwahiyo nitafute hiyo program "bruteforce",si ndiyo?

Tafuta excel password cracker, bruteforce ni method wanayotumia yaani kujaribu kila combination a, aa, ab, bb, ba....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…