Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,055
Wanajua wao wanaenda kupigia hela
Wacha waibiwe tu sasa wanalala na mali wakati hawazifanyii kazi! Si Bora ikaletwa mtaani watu wanufaike nazo, hivi wenyewe hawana utaalum Kama wa wajerumani walivyofukia mali zao na kuweka mauzauza? Si wangeweka mauzauza kama wao kweli ustaarabu na maarifa yalianzia kwao basi elimu ya mauzauza wangekuwa nayo.ndio,mummies wengi wa Egypt inasemekana waliibwa sehemu za miili na hata dhahabu zao ziliibwa na wazungu
Wacha waibiwe tu sasa wanalala na mali wakati hawazifanyii kazi! Si Bora ikaletwa mtaani watu wanufaike nazo.. hivi wenyewe hawana utaalum Kama wa wajerumani walivyofukia mali zao na kuweka mauzauza..?Si wangeweka mauzauza kama wao kweli ustaarabu na maarifa yalianzia kwao basi elimu ya mauzauza wangekuwa nayo..
Ngoja nikite kambi hapa kusikiliza Historia
dhahabu mbona bado wanazo, na makaburi yapo, pyramids zipo, na egypt ndio nchi inayoongoza kwa kutembeleawa na watalii wanaoenda kuangalia pyramidshiyo elimu wanayo mkuu[emoji16].kuna jamaa waliiba dhahabu kwenye hayo makaburi wakafa vifo vya ajabu
ila ulichosema ni kweli,kama Misri ya kale ingetunza yale ma dhahabu leo wangekuwa mbali sana