Passo mpya inauzwa

Passo mpya inauzwa

malika123

Member
Joined
Apr 23, 2014
Posts
27
Reaction score
16
Toyota passo
Year: 2005
C.C. 1290
43,000 km
Price 7m
Contact 0719444553

Ni yamwanadiplomasia. Fully duty paid (ndo mana inaplate number ya njano) amepata post nje ya nchi ndo mana inauzwa. Kaitumia wiki 2 tu. Karibuni
IMG-20191222-WA0003.jpeg
IMG-20191222-WA0004.jpeg
IMG-20191222-WA0009.jpeg
IMG-20191222-WA0005.jpeg
IMG-20191222-WA0011.jpeg
IMG-20191222-WA0002.jpeg
IMG-20191222-WA0006.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toyota passo
Year: 2005
C.C. 1290
43,000 km
Price 7m
Contact 0719444553

Ni yamwanadiplomasia. Fully duty paid (ndo mana inaplate number ya njano) amepata post nje ya nchi ndo mana inauzwa. Kaitumia wiki 2 tu. KaribuniView attachment 1302306View attachment 1302307View attachment 1302308View attachment 1302309View attachment 1302310View attachment 1302311View attachment 1302312

Sent using Jamii Forums mobile app
Passo mpya mil.6 pale jan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe bei ya passo si kitoto, soon itakuta ist

nikushuri, wachana na udalali na tamaa za kupiga cha juu bei mara mbili
gari milion 4 hii utauza
 
Hiv malika ni biashara unafanya au mashindano Brother!
Unge-focus zaidi kwenye positivity ya hii biashara yako uliyotangaza kuliko lugha unayotumia.
 
Ningekuwa na hiyo pesa ningekanunua ila nisichokielewa katika biashara ya magari Tz tunatumia vigezo gani gari kuliita jipya au new model maana mf hapa naona ka passo ka mwaka 2005 kanaitwa kapya! Hivi ni sahihi?
 
Back
Top Bottom