Passo for Sale

Passo for Sale

Hizi ni biashara usiwe na pupa wewe wacha wenye hela waongee.

Huyu badala ya kutafuta gari; yeye anatafuta alphabet! Hivi hajui kwamba kuna gari zilizohamishwa kutoka registration convention ya say TZM kuja hii ya sasa na bado ziko katika Tip Top condition kuliko hata baadhi zenye Label B na C registration!

Wewe omba upunguziwe bei kama unataka gari seriously lakini sio kubeza biashara za wenzio! Sio uungwana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom