Passibly Ethiopians Airlines Boeing 737 Max Could be Gunned Down

Ajali ya mdege ikitokea ..watu huwa wanakufa kabla hata haijafika chini
 
Boeing ni ndege mbovu sana, kila day zenyewe tu zinapata ajali....Airbus hatukusikia huu ujinga...

ze kokuyo na wenzio njooni huku mjibu!
 
. Unstable vertical speed rlates to engine malfunction and not an external target as you suggested.
 
. Unstable vertical speed rlates to engine malfunction and not an external target as you suggested.
kama ndege inaendeshwa kwa kiasi kikubwa na mfumo wa kompyuta, hakuna uwezekano wa attack kuwa electronic pia!? Maana teknolojia inakua kwa kasi sana na attacks sio lazima ziwe ni mabomu tu.

Kwa hivyo ni kweli mleta mada hana ushahidi wowote so far lakini I think its also too early to rule out an external "attack" as a cause of engine malfunctioning. Naamini hata wanaochunguza watakuwa na hili ninachokisema kama mojawapo ya "hypotheses" za kuongoza uchunguzi wao.
 
Indonesia Boeing 737 Max 8 had a similar kind of crush immediately after taking off and it was only 2 months old.
 
Poleni ndugu zetu wa ethiopia
 
i dont understand,somaly prime minister wsd onboard?,but in the list of countries above,i dont see somaly,may be he was kenyan?
 
Latest technology imeziongezea ndege hasa za abria usalama zaidi kiasi kwamba ndege kuanguka tena dakika 6 baada ya kuruka si kitu cha kawaida, anyway Mungu awape subira ndugu wa wahanga wa ajali
ndege nyingine kama hiyo ilianguka dk 12,baada ya kuruka,na kuuwa watu 190,hizi ndege ni mpya,nafikiri kuna tatizo kwenye mfumo wa injini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…