Passibly Ethiopians Airlines Boeing 737 Max Could be Gunned Down

Toleo jipya la ndege linatoka, rubani anasoma manual leo pamoja na troubleshooting kesho anarusha ndege, wawe serious na maisha ya watu
Mkuu, matoleo mapya sio total overhaul, ni increments ndogo ndogo toka version ambazo zipo kabla ya hili toleo jipya.
 
Siily and irrational as you sound, on one hand you're advancing the proposition the plane was allegedly shot down by terrorists without any proof to back it this up, and on the other hand you claim the plane displayed evident signs of issues with vertical speed after take-off. So what really are you trying to tell us?
 
Pilots need to learn to PILOT ...Not rely on Computers only to do it for them ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Thats was old days. Ndege ziliuwa na manual operating board. Siku izi everything ni computerised.
Principle ni zile zile.. huwa wanaanza na kupilot ndege bila computer then ndio wanashift to ndege za kisasa.
Lakin just kama kitu chochote kile. Huja na disadvantages zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha watanzania kama mosad, walijua hiyo ndege ingeanguka wakatonyana nchi nzima, na waliitikia wito hakuna aliyepanda hiyo ndege.
Mpaka sasa hakuna mtanzania aliyetaarifiwa kufariki kwenye ajali hiyo.
Na riport kutoka eneo la tukio, ni mimi mtanzania mzalendo wa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha Oklahoma city bombing 1995

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamarekani walijuaje hiyo ndege itadondoka a day before crash!!?
kuna maswali mingi hapo?
 
Hili li dream liner letu litaanguka lini?
Pilots need to learn to PILOT ...Not rely on Computers only to do it for them ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hauko serious mkuu, Rocket za kwenda outer space ziko automated kwa kiasi kikubwa sembuse ndege tu. Kwa taarifa yako, bila computer assisted flight, ajali zingekuwa ni nyingi zaidi. Binadamu anafanya makosa zaid kuliko computers. When you are a pilot una deal na flight parameters nyingi sana ambazo kwa akili ya kawaida huwezi kuchakata.

Kwa case hii ni kweli, avionics zilizingua because ndege inataka kingine na captain anataka kingne, hata uwe na PhD millioni za kurusha ndege itaanguka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…