Passenger tried to blow up airliner-in Detroit

Father warned US about plane bomb suspect's behaviour

_46997507_jex_557993_de27-1.jpg

The saharareporters.com website published a photo of the detainee

The father of a Nigerian charged with trying to blow up a US jet on Christmas Day had voiced concerns to US officials about his son, it has emerged. The father, a top Nigerian banker, warned US authorities weeks ago about 23-year-old Umar Farouk Abdulmutallab's extreme religious views.
An Obama administration official told the New York Times the report had been received, but had been non-specific.
Airports worldwide have beefed up security after the alleged attack.
Mr Abdulmutallab was formally charged by a US federal judge at a Michigan hospital where he is being treated for burns after allegedly trying to detonate a device.
'Sewn in underpants'
The detainee reportedly smiled as agents brought him in to the room in a wheelchair, dressed in a green hospital robe and with a blanket over his lap.

_46997501_008469129-1.jpg

The Northwest Airlines plane had been carrying 278 passengers and 11 crew

High explosives are believed to have been moulded to his body and sewn in to his underpants.
He was immediately overpowered by passengers and crew aboard Northwest Airlines Flight 253, minutes before it was due to land in Detroit from the Dutch capital Amsterdam.
The suspect was charged with placing a destructive device on the Airbus 330, which was carrying 289 passengers and crew, and attempting to destroy the jet.

His father, Alhaji Umaru Mutallab, is a prominent banker well-connected in Nigeria's political world, the BBC's Caroline Duffield reports from Lagos.
In recent months the family had become gravely concerned about their son, a former engineering student at University College London.
His political views alarmed his family and his father especially, and Mr Mutallab had approached the US embassy in Abuja, reportedly in November, as well as Nigerian security officials, to voice concerns about his son.
How the accused, who had a valid US travel visa, boarded a flight in Lagos to Amsterdam, despite being on a database listing individuals of concern to the authorities, is now a key question, our correspondent says.
Anti-terrorist measures in Nigeria's airports are haphazard and corruption among police, customs and security officials is endemic, she adds.

o.gif
_46996904_jasper1.jpg

The unnamed Obama official quoted by the New York Times said: "The information was passed into the system but the expression of radical extremist views were very non-specific."
A US official told Reuters news agency the suspect's name was in a US database of suspected terrorists, but there had not been sufficient information to warrant putting him on the "no-fly" list.
It is understood that members of Mr Abdulmutallab's family are travelling to the Nigerian capital Abuja on Sunday to meet police and government officials.
'Nice and polite'
A preliminary FBI analysis has found that the device allegedly found attached to Mr Abdulmutallab contained the high explosive PETN, also known as pentaerythritol.
PETN was used in the device worn by British "shoe bomber" Richard Reid, who is serving a prison sentence for attempting to blow up a Paris-Miami airliner in Christmas week of 2001.

o.gif
PETN HIGH EXPLOSIVE
Was found on Flight 253 suspect's person, early tests suggest
Also known as pentaerythritol, often used in military explosives
Terrorists are said to favour it because it is small and powerful
Was used in the December 2001 airliner shoe bomb attack

inline_dashed_line.gif

Plane 'attack' raises fresh security fears
Fresh security fears

Mr Abdulmutallab allegedly tried to detonate a device using a syringe, but it failed to go off.
The suspect has reportedly told investigators he had links to al-Qaeda and had received the explosives in Yemen for a suicide attack, after a month of training.
Mr Abdulmutallab went to the bathroom for about 20 minutes before the incident, court documents say.
When he got back to his seat, he said he had an upset stomach and he pulled a blanket over himself, the affidavit continues.
"Passengers then heard popping noises similar to firecrackers, smelled an odour, and some observed Abdulmutallab's pants, leg and the wall of the airplane on fire," the Department of Justice said in a statement.
Dutch tourist Jasper Schuringa, credited with tackling the suspect first and helping crew members to restrain him, is being hailed as a hero by fans on the internet.
The 32-year-old Dutch filmmaker has said in media interviews that when he heard a bang and smelled smoke he felt immediately it was a terrorist attack and did not hesitate to intervene.

_46997502_008469237-1.jpg

Tighter security has meant longer queues at US airports

Mr Schuringa added that the alleged bomber had not become aggressive after the alleged bomb failed to detonate.
"He was actually a normal person, he was very scared, he had a very frightened look, he wasn't resisting or anything," he told the BBC.
"I also spoke later to one of the Dutch people who was sitting next to him and they said he was a really nice and polite man. So he was someone you wouldn't expect to commit a crime like this."
Meanwhile, delays have been caused to transatlantic flights after airlines flying in to and around the US tightened security.
Measures include cutting down on hand baggage, additional frisking of passengers at passport control and allowing more time to board.
 
What a waste of life for this young man, at 23yrs old spending the rest of your life in jail damn. My kudos to his father of letting the authorities know of what his son was up to.
 
Si unajua tena alikua anataka kwenda kupewa Mabikira 72. Ndio mambo ya imani za kipuuzi, eti ukiua binadamu wasio wa imani yako unaenda kupewa mabikira 72.

Sasa huyu ameunguza mpaka zana zake za kwenda kushughulikia mabikira itakuaje akifika huko, si atashindwa kushughulika?

Shame on believers of these lies and the madman who invented these deceptions.

Hii ndiyo waste ya watu kuwa fanatics wa mambo ya kipuuzi at the expense ya maisha ya innocents... Kama alikuwa na uchungu basi angevaa magwanda na kwenda vitani kama wenzake!!!

Inasikitisha sana mtoto aliyelelewa katika hali ya juu, kukubali recruitments namna hii inatisha

Sasa sijui tuko vipi salama huku ambapo watu wa njaa ya ukweli na they can take any risk kwa sababu maisha yanatakisha tamaa... nachelea kuhisi kwamba inawezekana kabisa tunatengeneza vi-suicide bomber humuhumu bongo na wakitoka tutakoma
 
Anapo uwa mzungu nisawa! anapotakakuuliwa yeye fanatics! wagalatia bwana!!!!Funguweni macho, the world has change.

Mmesahau hawa wazungu wanavyo sponser war africa? wanasababisha vifo vya watu wangapi? wake up guys!!

Make America & west busy on their security while other part of the world develop on techn and economy, power is shifting!!
 
yaani wewe unaamini kwenye hiyo ndege walikwepo wamarekani tu, elewa dunia imebadilika, naamini kwenye hiyo ndege kulikuwa na mchanganyiko mkubwa wa watu kutoka sehemu mbalimbali duniani, no way you can justfy the killings of innocent people in the name of religion.
 
Hakuna mtu anae justfy killing whether in the name of religion or democracy.

The point is: Wamarikani wanpo justfy killing of innocent men, women and children around the world including africa in the name of democracy nyie wagalatia mnakaa kimya na kuwatetea. (Mchungaji Pengo alikesha kanisani ku-support haya mauwaji)

Kukosekan justice na kutumia ubabe wao, ndo kunakowafanya wananchi wengi kuwa na hasira na kutumia kilasilaa mtu alio nayo. Until these change, mimi na wewe wakati wowote tunaweza kuwa victim pia. Lakini target inaeleweka ni kina nani.

Kumbuka Obama alikiri akisema: this is a war of choice.......nani atawalipa victims, au nane ataface judtice baada ya uuwaji huu wote duniani? sameone must face justice.
 
This is crap,
Yaani unasupport mauaji ya watu wasiokuwa na hatia kwa kisingizio cha dini? Dini gani hii inayoruhusu kuua watu wasiohusika? Kama wanaoua watu ni wanajeshi wa serikali isiyokuwa na dini ya Kimarekani kwa nini msiwafuate hao hao wanajeshi mkawaua wao. Kwanini mnakwenda kulipua watu wengine wasiohusika?

Ukiniudhi nikakupiga mtama una haki gani ya kumkuta mtoto wangu na kumkandamiza makonzi wakati yeye hahusiki katika ugomvi wetu?

Kenya waliuawa watu 250 plus, Hapa Tanzania waliuawa karibu watu 10 wasio na hatia wala wasiokua na uhusiano na serikali ya Marekani. Una justification gani ku-support ushenzi kama huu? Au kwa vile hukupoteza ndugu katika ugaidi huu? Well Kama hukupoteza ndugu wako waliopoteza ndugu zao wapendwa.
 
sidhani kama akili yako ina akili sawasawa
 
Soma maelezo yangu vizuri, acha tabia yako yakutofikiria mambo ki-undani
 
Anapo uwa mzungu nisawa! anapotakakuuliwa yeye fanatics! wagalatia bwana!!!!Funguweni macho, the world has change.

Mmesahau hawa wazungu wanavyo sponser war africa? wanasababisha vifo vya watu wangapi? wake up guys!!

Make America & west busy on their security while other part of the world develop on techn and economy, power is shifting!!

Acha ujinga wewe nani kakwambia ndege ilijaa wazubgu watupu na je wazungu sio binadamu hata wewe ni fanatic hizo imani nyingine zinawapeleka pabaya
 
Nenda Kandah Bull,watu wenye fikra kama zako wanaishi mapangoni Kandahar na Tola bora,imani zingine hata uwe musomi vipi kazi bure tafadhali hizo imani hazifai kwenye dunia ya sasa iliyona muingiliano
 
Si unajua tena alikua anataka kwenda kupewa Mabikira 72. Ndio mambo ya imani za kipuuzi, eti ukiua binadamu wasio wa imani yako unaenda kupewa mabikira 72.

Sasa huyu ameunguza mpaka zana zake za kwenda kushughulikia mabikira itakuaje akifika huko, si atashindwa kushughulika?

Shame on believers of these lies and the madman who invented these deceptions.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=tpdBXelpkL8[/ame]
 
Acha ujinga wewe nani kakwambia ndege ilijaa wazubgu watupu na je wazungu sio binadamu hata wewe ni fanatic hizo imani nyingine zinawapeleka pabaya

Unapo ishiwa unaanza matusi kama kawaida yenu! Wao wazungu wanapo uwa kwani wanauwa wanaangalia rangi? au wana terrorise the world bila kujali anae kufa ni mwaafrica, mwarabu muhind, nk?

Wamaricani na west ndio wanao tumia neno la _minmise civilian killing, Je hii nisawa?
watu wanajibu mapigo waliyoyaanzisha waamerica, kama atakuwepo mwengine ni bahati mbaya, the end of the day wewe na mimi n inncent,

Message yangu ni very simple kwa wavivu wa kufikiri ni: Walaaniwe wauwaji wote wanao tumia jina la dini au Democracy, hasa wanaojiita developed world
 
Nenda Kandah Bull,watu wenye fikra kama zako wanaishi mapangoni Kandahar na Tola bora,imani zingine hata uwe musomi vipi kazi bure tafadhali hizo imani hazifai kwenye dunia ya sasa iliyona muingiliano

Wengi wanishi hukohuko Amerika na nchi nyingine za Magharibi, Nani kwakwambia wako torabora pekee?.

Ukiwa na uwezo wa kufikiri utaelewa unyama unaofanywa na marikani kutmia neno la spreading democracy, hasa sisi waafrika ndio tunao/tulioonewa zaidi
 
Sunday, 20 December 2009

The US cruise missile attacks on Yemen reveal a damaging escalation in America's war on the Muslim world. Not content with presiding over a million deaths in Iraq, killing thousands in Afghanistan, and firing Predator drones into Pakistan almost every day, the current Nobel ‘Peace' Laureate Obama has decided to now bomb Yemen.

According to eye witnesses more than 60 people have been killed - mostly innocent women and children - rebutting the now tired claims, that only terrorists are being killed.

Abbas al-Assal, a local human rights activist who was at the scene told the Associated Press, that 64 people were killed, including 23 children and 17 women
."The government wants to show the world that it is serious in pursuing al-Qaida elements and that the south of Yemen is a refuge for al-Qaida. That is not true at all," al-Assal told The Associated Press by telephone. A resident of the area, Ali Mohammed Mansour, gave similar casualty figures, saying he helped bury the dead in a mass grave.

http://www.hizb.org.uk/hizb/resources/issues-explained/bombing-yemen-and-killing-civilians-is-obamas-definition-of-peace.html
Kwanini kitendo hiki cha 20/Dec kisilaumiwe mnalaumu cha 25/Dec ? nani yuko na right yakuuwa mwenzake? No one should justify killing, whether in religious name or democracy,
If Americans will not change his behavior and attitude, we all will be victims by plane or American missiles
 
Wengi wanishi hukohuko Amerika na nchi nyingine za Magharibi, Nani kwakwambia wako torabora pekee?.

Ukiwa na uwezo wa kufikiri utaelewa unyama unaofanywa na marikani kutmia neno la spreading democracy, hasa sisi waafrika ndio tunao/tulioonewa zaidi

Una justify mauaju kwa sababu ya chuki zisizokua na msingi?
Marekani imekuonea vipi wewe mtanzania unasupport mauaji ya wamarekani?

Unasahau kuwa ugaidi uliua baadhi ya ndugu zetu hapa Dar? Unasahau kua ugaidi uliua wakenya wasiokuwa ha hatia zaidi ya 250? Bado tu unatetea uuaji wa aina hii? Unasahau kuwa Magaidi hivi tunavyoongea wanaua watu huko Somalia? Au mwenzetu huna khabari?

Alieonea Waafrika specifically East Africans and particularly Tanganyika's ni nani zaidi ya Muarabu aliekua anavunja nyumba za mababu zetu, kuwateka nyara, kuwatembeza kwa miguu kutoka kigoma mpaka Dar Es Salaam, na walioshindwa kutembea kwa ajili ya uchovu walikatwa vichwa vyao na kutupwa? Umesahau huu unyama wa hawa watu?

Bado tu munaitetea Miarabu na unyama wao? Acheni unafiki?
 
Unapo ishiwa unaanza matusi kama kawaida yenu! Wao wazungu wanapo uwa kwani wanauwa wanaangalia rangi? au wana terrorise the world bila kujali anae kufa ni mwaafrica, mwarabu muhind, nk?

Wamaricani na west ndio wanao tumia neno la _minmise civilian killing, Je hii nisawa?
watu wanajibu mapigo waliyoyaanzisha waamerica, kama atakuwepo mwengine ni bahati mbaya, the end of the day wewe na mimi n inncent,

Message yangu ni very simple kwa wavivu wa kufikiri ni: Walaaniwe wauwaji wote wanao tumia jina la dini au Democracy, hasa wanaojiita developed world

Terrorists wana Maximize civilian killings.
 
Back
Top Bottom