ndugu zangu, mimi kwa uelewa wangu mdogo najua passmark ya utumishi ni marks 50 lakini naona haizingatiwi kwenye kitengo cha IT maana ukipata kuanzia hiyo 50 hupati nafasi ya kuendelea na interview ya pili.mimi nafikiri wangekuwa wanaruhusu ikishafika pass mark yao uendelee mbele maana wengine kumeza ni kudogo sana kwani ile ni mitihani ya darasani kabisa wakati wengine tupo uraiani muda mrefu. changia hoja yako.