Paskal Mayala: Hata Muhidini Issa Michuzi amefikia hapa?

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,226
5,947
Mayala mimi ni mtembeleaji mzuri wa "blog ya Michuzi. Leo nimeona kanikwanza kaweka picha za tukio la "Sherry Party iliyofanyika jana 9.02.2018 ikulu kwa mwaliko wa JPM na hakutaja jina la balozi yeyote wala nchi anayotoka. Ni Michuzi kweli au yuko likizo kamuachia mtu mwingine?
 
Ngoja wanaojua waje
 
Unamwambia Pascal Mayalla akusaidie nini?
Unajua maana ya habari picha,unajua maana ya blog?kama unahitaji habari zaidi kwa nini usiifate kwenye tovuti ya ikulu?
 
kabombe, umelewa pombe au tatizo nini?
 
Mayalla alikuwepo kwenye party.....?........
Preta, ninadhani utakuwa na uwezo mdogo sana na kuelewa mambo- zaidi ya kujua kusoma na kuandika sijui kuna lipi unaweza kutusaidia katika uadishi wa habari. Mimi sijui nimeomba msaada kwa Mayala kama mwandishi wewe sikujui sasa hamaki za nini?
 
Unamwambia Pascal Mayalla akusaidie nini?
Unajua maana ya habari picha,unajua maana ya blog?kama unahitaji habari zaidi kwa nini usiifate kwenye tovuti ya ikulu?
Wewe kabombe una matatizo makubwa sana kichwani
 
Preta, ninadhani utakuwa na uwezo mdogo sana na kuelewa mambo- zaidi ya kujua kusoma na kuandika sijui kuna lipi unaweza kutusaidia katika uadishi wa habari. Mimi sijui nimeomba msaada kwa Mayala kama mwandishi wewe sikujui sasa hamaki za nini?

Hujui kuandika.. acha porojo omba ufundishwe.

Paskal Mayala: Hata Muhidini Issa Michuzi amefikia hapa?
 
Preta, ninadhani utakuwa na uwezo mdogo sana na kuelewa mambo- zaidi ya kujua kusoma na kuandika sijui kuna lipi unaweza kutusaidia katika uadishi wa habari. Mimi sijui nimeomba msaada kwa Mayala kama mwandishi wewe sikujui sasa hamaki za nini?
Unajua kama Mayalla ni Mukaka?
 
Mbona tunagombana ?! Habari picha yenyewe iko wapi ?!
upload_2018-2-10_17-33-22.png

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kuwakaribisha Mabalozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam Ijumaa jioni Februari 9, 2018 kabla ya kuanza kwa hafla ya kukaribisha mwaka mpya kwa Mabalozi hao.
 
Back
Top Bottom