Pasco wa JF naomba nikuulize

Pasco wa JF naomba nikuulize

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Tangu kitambo kidogo,umekuwa ukimnadi Edward Ngoyai Lowassa na kutuaminisha kuwa ndiye chaguo sahihi la CCM na nchi kwa ujumla kwa nafasi ya Urais 2015. Na hivi karibuni,hasa leo,umechomoza kama mpiga zumari wa Zitto Zuberi Kabwe kama chaguo sahihi la CHADEMA katika Urais 2015.

Hali ya kisiasa nchini Tanzania iliyopo na itakayofika 2015 inaonesha dhahiri kuwa mgombea wa ima CHADEMA au CCM ndiye atakayeibuka kidedea kama Rais wa tano wa Tanzania.

Ikiwa Lowassa atasimamishwa na CCM na Zitto atasimamishwa na CHADEMA,unadhani Tanzania itapata Rais inayomhitaji kuelekea mafanikio inayoyataka? Nini kinachokuaminisha kuwa hawa ni bora? Karibu Pasco,karibuni wana-JF wote tujadili

cc Pasco
 
Last edited by a moderator:
kama onatoa bahasha ya kaki kwa Pasco ndiyo unaefaa zaidi, sema rostam hataki tana siasa kwa pasco alikuwa na nafasi..
 
Last edited by a moderator:
Tangu kitambo kidogo,umekuwa ukimnadi Edward Ngoyai Lowassa na kutuaminisha kuwa ndiye chaguo sahihi la CCM na nchi kwa ujumla kwa nafasi ya Urais 2015. Na hivi karibuni,hasa leo,umechomoza kama mpiga zumari wa Zitto Zuberi Kabwe kama chaguo sahihi la CHADEMA katika Urais 2015.

Hali ya kisiasa nchini Tanzania iliyopo na itakayofika 2015 inaonesha dhahiri kuwa mgombea wa ima CHADEMA au CCM ndiye atakayeibuka kidedea kama Rais wa tano wa Tanzania.

Ikiwa Lowassa atasimamishwa na CCM na Zitto atasimamishwa na CHADEMA,unadhani Tanzania itapata Rais inayomhitaji kuelekea mafanikio inayoyataka? Nini kinachokuaminisha kuwa hawa ni bora? Karibu Pasco,karibuni wana-JF wote tujadili

cc Pasco
Nliwahi kujibu hivi mahali
Japo mimi namfagilia sana EL, ila nimegundua "the chosen one" ni mwingine!.

Harakati zote za EL kuisaka Ikulu ni works of the "King Maker" kumtumia EL kama "the pace maker" wa 2015 presidential race just to pave the way for the "would be king", but very unfortunately, he is not "the chosen one"!.

  1. EL ndie the best that CCM has!. ZZK ndie the best that Chadema has na Jussa ndie the best tha CUF has for ZNZ.
  2. Kuwa the best is one thing, kusimamishwa na chama is another thing!. Ili usimamishwe na chama, "you have to be the "choosen one", as of now, neither EL nor ZZK is the "choosen one".
  3. 2010, kwenye CCM, JK alisimama na Dr. Salim na Prof. Mwandosya. The best was Dr. Salim, akifuatiwa na Prof. Mwandosya, JK was the least na ndie aliyechaguliwa kusimama kwenye CCM simply because he was "the choosen one".
  4. Na kati ya aliyosimama nao kuombea urais, JK was not the best ila ndie yeye aliyechaguliwa!.
  5. Sio kweli kuwa siku zote "fast runners always win the race", or the brightest students win the exams!, Vivyo hivyo kwa EL na ZZK, they are the best but ...
Inatosha!.
Pasco.
 
Majibu yako yamekaa kimantiki sana....yanahitaji elimu kuyaelewa. Lakini,nakushukuru kwa majibu yako.Nilivyokuelewa Mkuu Pasco ni kuwa Zitto na Lowassa si chaguo la vyama vyao.Una ushahidi juu ya hili?
 
Pasco siku zote hueleweki points zako,Hunaga msimamo wowote siku zote.
 
Majibu yako yamekaa kimantiki sana....yanahitaji elimu kuyaelewa. Lakini,nakushukuru kwa majibu yako.Nilivyokuelewa Mkuu Pasco ni kuwa Zitto na Lowassa si chaguo la vyama vyao.Una ushidi juu ya hili?
Mkuu Petro Mselewa, ushahidi upo, 100% sure na utawekwa wazi with time!, hivyo nakuomba usiulize zaidi, "only time will tell!".
Pasco.
 
Nliwahi kujibu hivi mahali

  1. EL ndie the best that CCM has!. ZZK ndie the best that Chadema has na Jussa ndie the best tha CUF has for ZNZ.
  2. Kuwa the best is one thing, kusimamishwa na chama is another thing!. Ili usimamishwe na chama, "you have to be the "choosen one", as of now, neither EL nor ZZK is the "choosen one".
  3. 2010, kwenye CCM, JK alisimama na Dr. Salim na Prof. Mwandosya. The best was Dr. Salim, akifuatiwa na Prof. Mwandosya, JK was the least na ndie aliyechaguliwa kusimama kwenye CCM simply because he was "the choosen one".
  4. Na kati ya aliyosimama nao kuombea urais, JK was not the best ila ndie yeye aliyechaguliwa!.
  5. Sio kweli kuwa siku zote "fast runners always win the race", or the brightest students win the exams!, Vivyo hivyo kwa EL na ZZK, they are the best but ...
Inatosha!.
Pasco.

Kwenye RED Mkuu ni 2005!!
 
Pasco siku zote hueleweki points zako,Hunaga msimamo wowote siku zote.
Mkuu Ndalwa, kutoeleweka points zangu ni jambo moja na kutokuwa na msimamo ni jingine!.

Nkianzia na hili la kutoeleweka, tangu 4th Dec mpaka sasa 4th January, una kipindi cha mwezi mmoja tuu humu jukwaani, hivyo ni haki na halali yako kutonielewa, with time utakuja kunielewa tuu!.

Hili la msimamo nalo neno!, kila siku humu ninasema sina chama, sina upande, sina ushabiki, sina ufuasi, ila kuna watu nawaunga mkono!. Sasa kama na wewe ulitaraji au lazima niwe Chadema na kama mimi sio Chadema, then lazima ni CCM, endelea kuamini hivyo!. Mimi pasco wa jf naendelea kusimama kwenye kweli no matter what, CCM wakifanya mazuri, nawapongeza, wakichemsha nawabalasa, vivyo hivyo Chadema ikifanya mazuri ni pamoja sana ila mkichemsha ni bakora tuu kwa kwenda mbele, hata CUF or NCCR are not spared!.
Msimamo gani ambao wewe ungetaka niwe nao?!,
Pasco.
 
Majibu yako yamekaa kimantiki sana....yanahitaji elimu kuyaelewa. Lakini,nakushukuru kwa majibu yako.Nilivyokuelewa Mkuu Pasco ni kuwa Zitto na Lowassa si chaguo la vyama vyao.Una ushidi juu ya hili?

Umenifuraishaaa mkurugenzi kwa swali na jinsi ulivyopokea majibu kutoka kwa Pasco.

Kwann kwa swari?-sababu siku zote nilikua nawaza uchambuzi wake hapa JF unamantikihani nikawanajibu lkn sikuliamini leo amelitoa mwenyewe.

Kwanini kwa ulivyopokea jibu?-sababu ni kuwa umegundua mwenyewe kuwa inahitaji elimu kuelewa majibu ya Pasco, ukamnukuu jinsi ulivyomuelewa alafu ukamuuliza swali amablo tayari kwa majibu yake amekwisha kukujibu.

Nionavyomie.
Inaonekana upeo wako haukuliona hili ngoja nikurahisishie jibu la Pasco ambalo hata mie nilikuwa nafikiria siku nyingi uchangiaji wa Pasco una maana gani nikahisi kitu (pengine katumwa au ni mawazo yake tu) ambacho leo amekijibu kuwa...Rais ajaye atakuwa ni EL au ZZK kwa experience ya JK.
 
Mi siku zote najua Pasco ni zzk kwa id fake kwa jinsi anavyotuvuruga humu jf na misimamo yake!
 
Pasco ni msanii anajidai anatoa majibu kama wanafilosofia wakuu waliowahi kuishi ulimwenguni (ambao ni Yesu,Socrate au king solomon lakini sijaona argument zake kama ni nzito,na hatumii reasoning yoyote hapa aliyesomea reasoning kwenye philosophy au Law atakuwa amenielewa...Pasco ni mfuasi wa zitto period.Mambo ya ohh naongea ukweli, ohh mtaona siku moja maneno yangu yatakuwa ya ukweli ni uzushi.
 
Pasco swali dogo la nyongeza,Na wewe utagombea uwakilishi ktk jimbo/sehemu gani na tiketi ya chama gani?
 
Nliwahi kujibu hivi mahali

  1. EL ndie the best that CCM has!. ZZK ndie the best that Chadema has na Jussa ndie the best tha CUF has for ZNZ.
  2. Kuwa the best is one thing, kusimamishwa na chama is another thing!. Ili usimamishwe na chama, "you have to be the "choosen one", as of now, neither EL nor ZZK is the "choosen one".
  3. 2010, kwenye CCM, JK alisimama na Dr. Salim na Prof. Mwandosya. The best was Dr. Salim, akifuatiwa na Prof. Mwandosya, JK was the least na ndie aliyechaguliwa kusimama kwenye CCM simply because he was "the choosen one".
  4. Na kati ya aliyosimama nao kuombea urais, JK was not the best ila ndie yeye aliyechaguliwa!.
  5. Sio kweli kuwa siku zote "fast runners always win the race", or the brightest students win the exams!, Vivyo hivyo kwa EL na ZZK, they are the best but ...
Inatosha!.
Pasco.

hahaaaaaaaaaaaaaa Pasco kweli unapenda kuzikusanya usipopanda loh! hahaaaaaaaaa baada ya Mr. White Head kustop transaction sasa umwgeukia kwa Zitto na Jussa!!!!!!! Hongera kamanda nimependa the way unavyoitumia karata yako dah!
 
Back
Top Bottom